joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kwahiyo mkuu, akilini mwako unaamini kabisa kwamba kilichosababisha wanyarwanda kuchinjana ni wazungu?, Kweli mkuu?.Umeongelea kitu tofauti na nilichokisema, hapa si suala la kutukuza wazungu bali kuelewa jinsi wanavyo operate na kuja na solution.
Waafrika tuna matatizo yetu lakini pia tunafanyiwa songombinde nyingi. Kutatua matatizo ya wakina Odinga ni pamoja na tuutokomeze ukoloni mamboleo.
Umepngelea Rwanda kuchinjana, lakini hujuilizi ni nani aliyewapa wakina Kagame silaha za kuipindua serikali ya Rwanda miaka ya tisini?
Nimekupa mfano wa mshike mshike aliofanyiwa Magu, mpaka tukawa na magaidi kibiti, ni nani aliyewaleta hao jamaa? Mbona sasa hawapo kwa Samia?
Huyu mzee kama walivyo Wakenya wengi, tangu mdogo anakua na kuishi kwa kula mikate na majani wanaita "sukuma", sasa kwanini asiwehuke?EMPTY MINDS
Hapana, Rwanda teyari kulikuwa na ugomvi kati ya koo mbili za Hutu na Tutsi. Sasa eastern congo kuna madini na ili madini yatoroshwe vizuri ilibidi kuwe na machafuko.Kwahiyo mkuu, akilini mwako unaamini kabisa kwamba kilichosababisha wanyarwanda kuchinjana ni wazungu?, Kweli mkuu?.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sama boy 255
Mwenye macho haambiwi tazama, kila kitu kipo wazi kasi yetu mmeishindwa.Mbna maneno mengi kujieleza kuwa wewe mshindi? [emoji23]
Hivi kwanini mnapenda hii mibasi yenye moshi itembee kila mji?Sama boy 255
Kama DART wataacha wafanye maamuzi Kwa mlengo wa kibiashara Ili wapate faida ni obvious baada ya Dar,Dart inatakiwa kuanza kujengwa Mbeya,waanzie pale Songwe Airport.
Ila kutokana na siasa uchwara na upuuzi wataanza Dom ambako hawawezi pata faida maana Dom Ina njia nyingi za kufika Mjini tofauti na Mbeya..
I have just accepted that life’s too short to worry about what others do in their private life or their bedrooms as long as it doesn’t affect me…. Coz getting involved will not add any value to my existence….there are other vital causes I can do that are better for humanity like feeding the hungry… Whom you sleep with is none of my business….period!We jamaa wa yues 🤣🤣
Like Darasa’s song says…. Mind yo buzziness…..!!!… nice tune…I have just accepted that life’s too short to worry about what others do in their private life or their bedrooms as long as it doesn’t affect me…. Coz getting involved will not add any value to my existence….there are other vital causes I can do that are better for humanity like feeding the hungry… Whom you sleep with is none of my business….period!
Wao structures zao zilijengwa kama majengo ya Monk wa china ya kaleWakenya Wakenya Wakenya nimewaita mara tatu, msije kusema hatukuwaambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2634271
Hii manenoUGANDA imetangaza kuwa kampuni ya Uturuki itaanza kujenga reli ya kisasa ya Standard Gauge (SGR) kutoka Kampala hadi Malaba mnamo Agosti kwa gharama ya karibu $2 bilioni sawa na Shilingi za Uganda trilioni 7.45.
#HabarileoUPDATESView attachment 2634144
COW is back!Northern corridor Intergration Projects(NCIPC), hii maana yake nini, wanataka ku- integrate na nani?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nyinyi ni watu wa mdomo tu na sisi tumenyamaza ndo maana unaona hivoMwenye macho haambiwi tazama, kila kitu kipo wazi kasi yetu mmeishindwa.