Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

"Saa chache zilizopita"
Safari za mwisho za ukaguzi (functional check) ya ndege ya mizigo "Air Tanzania Cargo" aina ya #Boeing767 5H-TCO kutoka uwanja wa ndege wa kiwanda cha Boeing #PaineField.

Mkakati wa kusafirishwa hadi Uwanja wa Ndege wa GMTT (Tang Ibn Battouta-Morocco) imeratibiwa kufanywa Mei 31.
Kumbuka Ndege iliyoundwa maalumu kwa kupakia Mizigo huwa hazina madirisha tofauti na yale ya mbele kwa rubani.

Chanzo:

[emoji991]
Paine Field
 
Ile ndege iliyokamatwa pia washamalizana so nayo soon inaingia.
 
Marubani wameondoka jana usiku kuichukua ndege akiwemo yule rubani wa kike.
 
USA is not our role model, we are not slaves like you. We have our own way of life. The truth of the matter is that "You have nothing to celebrate".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania mnaharibu huu uzi, mtabaki huku pekee yenu mkijiongelesha. Unaingia uzi kutoka juu hadi chini hamna picha za dar ni matweet tu za ichoboy na joto na maneno tupu na porojo
Wacha kulia lia, picha zinawekwa kila siku na ni mpya, tofauti na nyie daily mnapost xpress way na GTC, kama mnataka kukimbia uzi kimbieni mana ndicho tunachotaka hicho ili tubaki pekeetu tupeane vitasa wkt nyie mnachungulia kwa mbali.
 
Kuna namna hii nchi inapokea baraka za moja kwa mojq, yaani kila tunachoshika siku hizi kinageuka dhahabu[emoji28][emoji28]
Sisi hatunaga baya ndiyo maana tunafanikiwa, hawa washakahola ni mbwa sana, wana roho mbaya pia ni wabinafsi sana wacha wafe kwa chuki.
 
Danganyika na Uchawi ni kama chada na pete.
No danganyikan media House has reported this, news zote hadi hapa jamii forums ni sifa kwa CCM pekee 🤣
🤣
 
Wanapost too much unnecessary news na tweets za kusifu CCM hadi wakijengewa choo kwa zahanati. Its a sign of a dictatorial country. Ata unaweza fikiria Tanzania hakunanga ajalai au kifo
Kwani hakuna wakenya wanaoishi Tanzania?, wajitokeze waeleze Kama huku Kuna ujinga au watu kufariki hovyo Kama huko kwenu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…