Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jokes kidogo kuhusu uchaguzi wa kenya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
.haina haja ya ubishi kwa waliofika nairobi wamejionea huwez ilinganisha na kijiji dsm
 
.haina haja ya ubishi kwa waliofika nairobi wamejionea huwez ilinganisha na kijiji dsm
i have been going to nairobi time to time....apart from the thika highway, flyovers and footbridges,i see nothing new in nairobi.
 
Alaf anakuja mjinga anakwambia GDP 70bπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Labda 70b ya ndotoni tena ndoto ya alinacha angalia tofaut hapo 55 - 51.6= 3.4
unafkiri 70b mchezo labda data za kupika ndio mutafkisha hio 70bπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
within 1 yr tanzania imepanda by 3.9b sasa hapo unafkiri by 2020 kenya itaeleza nn kwa tanzania
 
icho waonee huruma....wenzio wapo katika taharuki ya uchaguzi wa marudio....acha wapumue angalau kwa leo na kesho....[emoji23]
 
icho waonee huruma....wenzio wapo katika taharuki ya uchaguzi wa marudio....acha wapumue angalau kwa leo na kesho....[emoji23]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na hio 55 bado ni projected GDP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…