Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kipindi jamaa yenu hata haki ya kuandamana haikuwepo! Kumbuka Viwete walichapwa viboko live!
Hilo lilikua ni mapungufu katika uongozi wake, tabia ya kuzuia mambo kwa nguvu inapunguza uhuru wa kisiasa nchini, lakini kwa upande mwengine ulisaidia katika eneo la usalama wa nchi, alifanikiwa Sana katika kupunguza ujambazi nchini na kumaliza kwa haraka Sana tatizo la Kibiti.

Pia kwa kutumia tabia hiyo ya kufanya mambo kwa maguvu, allikua Kila wiki lazima akamate sio chini ya kilo 30 za dhahabu na madini mengine yakitoroshwa, zaidi ya kilo 800 za dhahabu zilikamatwa na kutaifishwa.

Ni matumaini ya watanzania kwamba, baada ya kifo chake, wale waarabu waliokua wanakamatwa na kilo za dhahabu katika gari zao, wameamua kumuenzi kwa kuacha kutorosha madini, maana hatusikii tena wakikamatwa.
 
Na Wale wasukuma waliokamatwa Geita na kuachiwa kwa amri yake hawapo pia!
 
Wanasema ukicheka na nyani utavua mabua, tuliambiwa hakuna tena manyanyaso ya wafanyabiashara katika suala Zima la kutozwa Kodi, kwamba TRA isiwasumbue wafanyabiashara kwa kuwafuatafuata, watakuja wenyewe kulipa Kodi kwa hiari Yao, imekuaje Tena?
 
Wapo Kule walipo waarabu na wapemba wanaotorosha dhahabu na madini ya Vito Kila siku yenye thamani ya mabilioni ya fedha huku wakikingiwa kifua Cha ikulu.
kama Magufuli alivyokingia kifua Wasukuma wenzie wa Geita waliokamatwa wakitorosha madini na kuamuru waachiwe!
 
Those Tanzania solders who killed in DRC, were killed 8years after deafet of M23, and were killed by ADF and not M23 after being ambushed in night in their camp, not even on battle field, do you remember EL - Ade attack were almost 2000 KDF solders killed and the camp was taken by Alashabaab, many of KDF solders were captured as prisoners?. Very weak army.
Unakimbilia wapi unapoandika?
 
Travel outside of Dar … head towards Kigoma … then come to Nairobi and drive towards Kisumu or Mombasa… you will see the difference….. rural Kenya is miles ahead of rural Tanzania….. that’s a fact!

I travelled once from Lungalunga to Ukunda to Mombasa , that level of poverty manifesting all along the poorly built road kwenye county ya kwale is so extreme.
 
The kind of journalism tanzanians only see on Tv

Huko huyu journalist would be dead courtesy of CCM thugs… ati juu ya kutoheshimu mamá taifa ….. but note that every journalist was tough on President Ruto… just like they were on Uhuru na Kibaki…. After Mzee Moi regime, Kenya changed 💯…. Am sure TZ journalists got questions too but are intimidated by state machinery…
 
Back
Top Bottom