Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Government offices will be nothing compared to private business Tatu or Konza cities…. especially ground infrastructure ya Konza ni first world class … nothing like that Ukanda huu wa East and Central Africa…
Where is konza and tatu city zaidi ya miaka 15 mumejenga kitu just show me atleast 1% of render ambayo mushajenga ili nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣🤣🤣

White elephant loading
 
Wacha kuongea upumbavu wewe.. ngoja kidogo nikuonyeshe moto. Dom .. utafanisha na huo ushuzi wa kuitwa konza kweli.? Wewe ni kichaa nini.? DOM isn't only about government offices, kuna investment kibao as we talking right now DOM metropolitan iko na wakazi 310k .. miradi kibao with in it, international airport, outer ring roads, schools, hospitals, industries (big brands in Tz), SGR n.k .. Ukiskia DODOMA usije ukachukulia poa mdogo angu.

DODOMA gvmt city is just the city in the city.. neno DODOMA sio kawaida jombi 🤣

Hiyo konza Ina miaka labda 50 kufika ilipo DODOMA sasahiv as the City
 
Hawa kunyans Wanaji'confuse .. eti ooh DODOMA hakuna viwanda au private investments 🤣 ni ukichaa ..

Let me make it clear.. DODOMA government city is the city with in the City of DODOMA ambapo kwenye hilo jiji la DODOMA kuna viwanda, mahoteli, masoko makubwa, stendi za Mabasi, miradi mikubwa ya maji, SGR, miradi mikubwa ya barabara, airports, vyuo vikuu, hospitals kubwa kubwa, ambavyo vyote hiv unavipata (tayari vipo) nje ya huo mji wa serikali unaojengwa sasahiv. mwaiofhawaii sijui unanielewa.?
 
Yaani Kunyaland hapo wangelokotwa majeruhi waliokanyagana wakigombania soda idadi kubwa kuliko cartons za soda zilizopasuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

watanzania tumeumbwa tofauti sana aisee
Tatizo njaa mkuu co kama wanapenda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Where is konza and tatu city zaidi ya miaka 15 mumejenga kitu just show me atleast 1% of render ambayo mushajenga ili nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣🤣🤣

White elephant loading
Tatu City ina ghorofa TATU, Konza imepigwa KONZI ikadumaa, Suswa Station na SGR yake IMESUSWA inaota majani, Kenya ni Channel ya Jokes huko mbinguni Malaika utune wakitaka kucheka😂😂😂
 
Where is konza and tatu city zaidi ya miaka 15 mumejenga kitu just show me atleast 1% of render ambayo mushajenga ili nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣🤣🤣

White elephant loading
Dodoma has been in existence since independence just like your Airline…… so was it a white elephant toka zama za Kale…
 
Tatu City ina ghorofa TATU, Konza imepigwa KONZI ikadumaa, Suswa Station na SGR yake IMESUSWA inaota majani, Kenya ni Channel ya Jokes huko mbinguni Malaika utune wakitaka kucheka😂😂😂
Your ignorance know no boundaries…. Wewe unafahamu Tatu City ama ni kupayuka tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…