Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If we exported that much in 2018, how much do you think we exported in 2022? Common sense
 
kitu Wakunya mnapaswa kujifunza kutoka Tanzania ni namna Tanzania ilivyo na equal distribution ya economic empowerment kitu ambacho kunyaland hamtokaa mkipate,

wananchi kutoka kwenye regions zao wakiboreshewa mazingira ya uchumi na miundombinu hakuna mwananchi ataenda kwenye majiji makubwa kutafuta vibarua na kutengeneza slums

Mbeya Region


Iringa Region


Tabora & Morogoro Regions


Songwe Region

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…