Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

duh aisee inasikitisha sana ila kuna mkono wa mtu
 
Hivi hii huwa ni unga huu huu wa Ugali au unga gani ?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wameambiwa hawana chakula kingine, spaghetti hupewa man of the match as a trophy kwenye tournaments zao ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ usiombe 'nshomile' akudharau ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

 
Dah wanasaga pumba ili wapate unga wa ugali, hii ni noma sana aisee.
 
Kuna mkenya alisema wao hawana shida ya unemployment hvi alikua nani ajitokeze๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ