Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

distinction of the citizens evacuation between Tanzania and Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]



View attachment 2604421

The most funny thing is actually the Kenya way was the correct one … that’s a military plane when going to rescue your people which is the best option to use? A passenger plane that maybe mambo inaeza enda mrama they get attached or you use a military plane? Ureeembo mingi ni sababu mna raisi mwanamke
 

Kenyans are Rich [emoji41]


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kenya has never done something wrongly, but also has never succeeded on anything.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Unapokwenda kufanya rescue lazma uwe na mahesabu kichwani sio kukurupuka na hamuwezi peleka kq kwa sababu 95% ndege sio zenu kwa 100% so hauezi take risk kupeleka ndege za watu kwenye vita na kwenye mikataba lazma vipengele kama hvo vipo wala usihangaike kutapatapa huku na kule πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kwa hapa nakubaliana na Mheshimiwa Ruto
Wajibu kwanza kama wanauchungu na africa baada ya kupata uhuru kwann walijitenga wakaacha nchi zingine zikihangaika?? Leo ndio wanaskia uchungu kwasababu nchi yao imekufa πŸ˜†πŸ˜†

Kenya imesaidia nchi gani kwenye uhuru au kusimamisha vita watutajie moja na kwann wao wamepeka jeshi somalia kupitia mgongo wa USA??
 
Wakati wenzetu wanafurahishwa na chinese imported buses, sisi tupo proud na our assembling industry

Hapo ndo unapopata kujua mentality ya hizi nchi mbili
Meanwhile, basi la kichina kule bongo hapo jana
 
military plane for airlifting consignment/supplies sio watu hiyo sio warplane kwamba itafanya air combat or to drop bombs kikinuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Halafu hajui Tanzania ilipeleka ndege Ethiopia sio Sudan πŸ˜…πŸ˜…
 
Puppets of the white..
Nimesoma kwa wazungu (even being the best student in their classes), nimeishi kwa wazungu, lkn sijawah kuwahusudu hawa wajinga.. inakasirisha sana kumuona mwafrika anamnyenyekea mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…