Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njaa tatizo ase tuliza balls zako sawa........ kenya ardhi ya wazungu wanalima tea mkale chai sasa. inauma sana.. watu ambao mnawaambia awajui ENGLISH alafu wanawazid kila kitu inauma sana..
KIUFUPI KENYA MMELOWAA
Kwani ulizaliwa wakati wa nyerere na hekaya
 
Wewe bongolala endelea kujifariji. Wewe nakuzidi kwa kila kitu na nitaendelea kukuzidi hata zaidi
Ukiendelea kuleta ujinga wako nitaweka picha yako hapa ukiwa getini unalinda, we jifanye tumekusahau tu, macho mekundu kama mchawi alafu unataka kushindana kimaisha na mtz, sema suuu niweke picha yako hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Ali-edit google map kuondoa slums. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukienda kenya ukamwita mlinzi watchman anakasirika kabisa anaeza asikujibu wanapenda waitwe soldier atafurahi sana na meno 32 utayaona 😆😆😆😆😆
 
Vipi kuhusu kununua chakula, be informed that Tanzania is the only country in this region that have positive balance of trade with all other countries

It's expected.
LDC hakuna purchasing power.
You can't afford to import things.
 

How do you separate debt and infrastructure? Kwani una kichaa?
Debt is part of our development budget.
Our only loss is the interest payments.
 
Alaf unemployment rate over 40% hvi ww unaona watu wote humu wajinga tu 🤣🤣

Every time you quote a random Kenyan guy on Twitter, I almost forget that Tanzania has the 3rd highest number of poor people in Africa, and a GDP the size of Kiambu.

When it comes to the topic of poverty, Tanzanians should sit that one out. 😂 😂 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…