babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,514
- 36,219
Huko kwenu zinafanyika ila haziwezi trend maanake hakuna anayefuatalia yanayotendeka huko.
Masikini ni nchi inaongoza kwa extreme poverty ukanda huu
Juzi vyombo vyenu vya habari viliripoti habari ya wamasai kugawiwa Ardhi huko Tanga, hii habari is very irrelevant such that even our media didn't even bother to report it.Huko kwenu zinafanyika ila haziwezi trend maanake hakuna anayefuatalia yanayotendeka huko.
Kwanini sisi hatulalamiki kuhusu majambazi wenu waliotapakaa huku Tanzania?Tukiwaambia kuna ombaomba wenu wametapakaa huku mnasema tulete proof, tukiwaletea proof mnasema hamwezi amini media za Kenya. Sahii mnakubali wenyewe.
Chombo kinaweza report habari kutoka huko bongo ila haiwezi trend jinsi habari za Kenya zinavyotrend huko. Kama hiyo ya Wamaasai kugawiwa shamba hadi mimi sijaskia na mimi kama member wa JF niko among Wakenya wanaojua kinachoendelea Bongo zaidi. Sasa imagine yule Mkenya wa kawaida. Hatufuatilii habari zenu kando ya kuwa media zenu zenyewe zina uvivu wa kupindukia yani mambo mengi hazireport.Juzi vyombo vyenu vya habari viliripoti habari ya wamasai kugawiwa Ardhi huko Tanga, hii habari is very irrelevant such that even our media didn't even bother to report it.
Weka data tujue export zenu za manufactured goods Kama unabishaKenya can't match Tanzania on industries? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha ninyamazie hapo
Lalamikenu tuu ila kwa sasa tunaongelea ombaomba wenu waliojaa huku.Kwanini sisi hatulalamiki kuhusu majambazi wenu waliotapakaa huku Tanzania?
Kitendo Cha media zenu kufuatilia na kutoa habari za Tanzania huko kwenu ni ishara ya umuhimu wa Tanzania kwa wakenya, Kamwe hakuna chombo Cha Tanzania kitajisumbua kuripoti mambo ya Kenya kwasababu watanzania hatuhitaji kujua lolote kuhusu Kenya, lamba Kama ni mambo ya hatari na vifo Ili kuwataarifu watanzania wachukue tahadhariChombo kinaweza report habari kutoka huko bongo ila haiwezi trend jinsi habari za Kenya zinavyotrend huko. Kama hiyo ya Wamaasai kugawiwa shamba hadi mimi sijaskia na mimi kama member wa JF niko among Wakenya wanaojua kinachoendelea Bongo zaidi. Sasa imagine yule Mkenya wa kawaida. Hatufuatilii habari zenu kando ya kuwa media zenu zenyewe zina uvivu wa kupindukia yani mambo mengi hazireport.
Kulalamika ni dalili ya udhahifu, Sasa Kama hata ombaomba serikali yenu imeshindwa kuwadhibiti, kweli mtaweza kuwadhibiti "bandits" wenye silaha?, Ninyi ni mfano mzuri Sana wa "Failed state".Lalamikenu tuu ila kwa sasa tunaongelea ombaomba wenu waliojaa huku.
Kureport sio kufuatilia. Kazi ya media ni kureport. Kwa hivo habari za umuhimu zitarepotiwa tuu. Hata Marekani wanareport habari zetu ila siwezi sema wanatufuatilia. Kufuatilia ni pale jambo la mtaa mtaa tu linakuwa trending news hapo kwenu. Hivi kile kisa cha jamaa kuua mtoto wake na kumzika kule Geita umekiskia Kenya? Hilo jambo la mtaa tu but lingefanyika Kenya ingekuwa trending news hapo bongolala.Kitendo Cha media zenu kufuatilia na kutoa habari za Tanzania huko kwenu ni ishara ya umuhimu wa Tanzania kwa wakenya, Kamwe hakuna chombo Cha Tanzania kitajisumbua kuripoti mambo ya Kenya kwasababu watanzania hatuhitaji kujua lolote kuhusu Kenya, lamba Kama ni mambo ya hatari na vifo Ili kuwataarifu watanzania wachukue tahadhari
Do you even know why UN HABITAT offices are in Nairobi?Why are you changing the topic at hand?…. The issue was UN not hunger…. Hio njaa will be history in 2 years time… water projects underway to end the menace once and for all..
Ndio maana mchungaji feki Paul Mackenzie amewachota kiurahisi😂😂Nchi yenu imejaa mataahira.
Chombo chochote Cha habari hakiwezi kureport mambo yasiyohitajika kwa wateja wake, Kumbuka hiyo media lengo lake ni kupata wasikilizaji/wateja wengi, lazima watafute taarifa zenye kupendwa na wateja wengi na sio vyenginevyo.Kureport sio kufuatilia. Kazi ya media ni kureport. Kwa hivo habari za umuhimu zitarepotiwa tuu. Hata Marekani wanareport habari zetu ila siwezi sema wanatufuatilia. Kufuatilia ni pale jambo la mtaa mtaa tu linakuwa trending news hapo kwenu. Hivi kile kisa cha jamaa kuua mtoto wake na kumzika kule Geita umekiskia Kenya? Hilo jambo la mtaa tu but lingefanyika Kenya ingekuwa trending news hapo bongolala.
Kwa hivo umekubali Watanzania wanapenda taarifa za Kenya ndio maana munashinda mkizireport?Chombo chochote Cha habari hakiwezi kureport mambo yasiyohitajika kwa wateja wake, Kumbuka hiyo media lengo lake ni kupata wasikilizaji/wateja wengi, lazima watafute taarifa zenye kupendwa na wateja wengi na sio vyenginevyo.
Note: Tafadhali Sana tunapozungumza mambo ya nchi zetu, usipende kutumia Marekani Kama mfano wa kuigwa, Tanzanians are not slaves of western countries the way Kenyans are.
One of the most cruel thing I have ever see! Dah!!Wana trend kwa vitu vya kipuuzi.
Nimeona video mmama akimshindilia visu mtoto wake.
Cheki hii, afya ya akili ni changamoto kubwa miaka hii.
Kwenda zako huko! Mxm!!Kwaivo tatizo la akili lipo kenya tu. Mambo kama haya hayafanyiki Tanzania kamwe?
Jamiiforum imejaa wajinga