Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just this weekend…. 3 Major elite Marathons..
LONDON
 

Attachments

  • FE31F30D-78B9-4318-A67D-73C59D0599FA.jpeg
    163.6 KB · Views: 20
Kiongozi sina cha kuongeza!Noma sana siku hiyo nimeshuka kwenye gari ya ofisi nikatembea kwa mguu toka veta chang'ombe mpk city center kupitia bendera tatu sio poa ujue! Nimeshudia flyover ya chang'ombe finishing kazi ikiendelea pale chini, aisee lile daraja la pale krb na makao makuu ya PUMA hizo divergence chini SGR kuelekea bandarini matata mno! mbele kidogo Tanzanite Terminus watta view noma sana! aisee ukisimama pembeni ya station utasema jiwe limeanguka kutoka angani likakita chini precise angles huku brt station ya aina yake haziko mbali, in between eneo limeachwa huru kwa ajili ya movements hakuna vumbi hata kwa bahati mbaya!!!!!.
 
Na bado mtu anakwambia Mombasa itafikia Dar [emoji23][emoji23] huo ni uthubutu wa aina gani

1. BRT Phase 3 hapo bado na i hope watabadilisha staion design

2. BRT phase 4 and 5 will be u/c next year phase 4 tegeta road , phase 5 ni Nelson mandela, parts of tabata na Sam Njuoma road .
Phase 6 bado bado .Plan ni kumaliza zote before 2030 ili kuaanza construction ya elevated rail

3.Indoor Stadium 15k capacity , sijajua itajengwa maeneo gani

4. New Jangwani Bridge

5. Msimbazi river basin development project

6. Flyovers kwenye intersection 8 mpya

Hizo zote ni goverment related bado private

1.East Africa Commercial Logistics centre 75,000sqm largest mall or commercial centre EA nzima it is u/c

2. Shifa Pan African Hospital 60mil usd facility with 240 beds
 
Songwe Airport New Terminal Building
Sijajua Annual capacity yake
Lakini looks to be around 500k to 1million passengers

Mbeya recently inapokea A220s means kuna alot of passengers na wengne wana book siku nyingne wanakosa same day flights , i think A220 nyingne zikirudi ina potential ya kupata A220 double daily kama mwanza .

Kuhusu International passengers bado bado, hata Mwanza haijaweza kupata scheduled za maana maybe Cargo kama tukiwa serious

Apron inatosha ku fit hata A220s 3 na dreamliners as i see
 
Sama boy 255 aione kwenye jalada
 
Nimeshangazwa kuona hii habari ambayo ni "domestic news" kutangazwa na media za Kenya, Sasa habari Kama hii raia wa Kenya inawahusu nini?
Usijali wameona watanzania wanatazama sana news za kenya kushinda wakenya wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…