THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Pia naona upande wa pili wa Tanzanite Terminus kunahitaji uwekezaji mkubwa wa business complex (Mall kubwa kbs mjini) pamoja na 4 to 5 Hotel na pia kuwe na access ya kuingia na kutoka eneo la station pia upande mwingine kuwe na access ya mji ingia/ toka lile eneo litakuwa moto sana!.Pamoja na adha yote ya ucheleweshwaji wa mradi wa BRT Phase 2, Kwa ile facelift niiyoiona pale Tanzanite, TRC, SGR Station, BRT ilivyo compliment na mradi wa SGR kipande cha kwanza narudisha shilingi yangu kwa SINOHYDRO
Nimemsikia manager wa TARURA anasema DMPD 2 inakuja kufanya facelift kwa barabara za city center sio poa, kule una flyover moja safi inaingia town plus park ya maana kabisa pale Jagwani, then BRT 2,3&4 zinasafisha major streets kama Sokoine, Bibi Titi, Azikiwe, na Mnazi Mmoja, and then DMPD inalift minor streets, noma sana. Kuna watu nawaona wanatamani waombe radhi kwa kugalagala kwenye matope kwa matusi wamekuwa wakitutukana.Pamoja na adha yote ya ucheleweshwaji wa mradi wa BRT Phase 2, Kwa ile facelift niiyoiona pale Tanzanite, TRC, SGR Station, BRT ilivyo compliment na mradi wa SGR kipande cha kwanza narudisha shilingi yangu kwa SINOHYDRO
Naona huwa wanapiga 4layers kabisa.
Drainage in Mombasa seems good. Just after the heaviest rain in the recent past, the water has already drained. If it was in Dar, the water could have taken a week to subside.
View attachment 2596716View attachment 2596717View attachment 2596718
Kwenye suala la ujenzi wa barabara wakenya hawana nafasi ya kuikosoa Tanzania, tupo mbali mno, Nakumbuka hawa wa brt phase 2 kuna kipande walizingua cha concrete walikifumua chote na kuanza upya, barabara za halmashauri na zenyewe zikipata hizi standards za tanroads barabara zetu zitakua za moto sanaNaona huwa wanapiga 4layers kabisa.
Hawa kazi yao ni kudanganywa na wanasiasa just imagine πππππ 12km road inawekwa jiwe la msingi mara tatu kwa ahadi za uongo
Dah aisee πππππHawa kazi yao ni kudanganywa na wanasiasa just imagine πππππ 12km road inawekwa jiwe la msingi mara tatu kwa ahadi za uongo
Ile baridi iko hapa! Wacha tu. I wonder how people survive in LimuruLimuru Kenya
View attachment 2596712