chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,712
- 46,008
Kwa Tanzania trunk roads zote layers zote zinakua extended mpaka kwenye road banks bila kuacha shoulders, road shoulders zitakua marked na yellow lines and not layer imbalance
Rudi shule.Kwa Tanzania trunk roads zote layers zote zinakua extended mpaka kwenye road banks bila kuacha shoulders, road shoulders zitakua marked na yellow lines and not layer imbalance
mfano hii ndio layers ambayo ipo mpaka kwenye road shoulders zenu
View attachment 2596687
then hii ni top layer ambayo ninyi mnaiweka tu kwenye main carriageway wakati sisi tunaifikisha mpaka kwenye road banks na ndio maana akili yako inakutuma uone kama tunaweka layers lungufu sababu sisi hatuna layers imbalance kama ninyi!!
View attachment 2596688
Drainage in Mombasa seems good. Just after the heaviest rain in the recent past, the water has already drained. If it was in Dar, the water could have taken a week to subside.
View attachment 2596716View attachment 2596717View attachment 2596718
Hizi bus hazijulikani mbele ni wapi na nyuma ni wapi 🤣🤣🤣🤣🤣End of an era for the Scania Gemilang, zinakua succeeded na Scania Marcopolo's.
Usione tumenyamaza kimya 🤣🤣Drainage in Mombasa seems good. Just after the heaviest rain in the recent past, the water has already drained. If it was in Dar, the water could have taken a week to subside.
View attachment 2596716View attachment 2596717View attachment 2596718
We Jamaa uko desperate na una shida sana na Rais ,kazi Yako ni kutafutiza vitu visivyo na msingi 😁😁
labda mkenya mwenzako akikuambia ndio utaelewaRudi shule.