Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo jeshi wenu amevaa kofia ya EACRF kwanini? Watu si wajinga buanaaaaa.
 
ubora wa hali ya juu barabara pana vizuri tofauti na za kenya

View attachment 2594928View attachment 2594929

Hivi Wakenya wanaposema wanatuzidi kwenye km of paved roads mnawaelewa kweli? Mbn sioni relation kabisa, nchi yetu ni kubwa mara yao alafu maeneo mengi ni yanafikika unlike kwao na bado wanasema wanatukaribia hii mbn haiingii akilini kabisa. Ninachokiona ni uzembe wa bodies zetu kushindwa ku update taarifa zao mara kwa mara.
 
Lakini hata zao zimejaza uongo, wanaweka kilometers ambazo hawana, hata mtoto mdogo humdanganyi

 
Wacha kutetea aibu. Hiyo gari haifai iitwe eti ni ya kijeshi. Sijaona nchi yoyote duniani inatumia mkebe kama huo kama gari ya kijeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…