Kigoma na Tabora zina kilometers nyingi za lami under construction zaidi ya kilometers zote za lami under construction za kenya
You are not a soldier, wewe ni mdomo tu unapiga hapa Jamii Forums.Tanzania has TPDF soldiers in DRC under MONUSCO which is a UN coordibated peace keeping force hence no need of sending another troops to DRC.
We are also wise enough not to risk our solders lives by placing them under Kenysn commanders because we know about KDF weak and outdated modus operandi.
Kaka nasikia kunyan airways wanataka ushirikiano na ATCL,hii ni kweli?Basi ni hzo tu hautaki kukubali kama ni white elephant project au?? 🤣🤣🤣 hii dunia ina maajabu wakat probox zimejaa over 90% ya gari zote kenya
Tanzania hatujachangia chochote katika kikosi Cha EAC huko DRC, hizi picha ni wakati wa mazungumzo ya makamanda wa majeshi ya nchi zote za EAC yaliyofanyika Kenya, lakini hadi leo hakuna mwanajeshi wa Tanzania hata mmoja aliyekwenda DRC kuungana na wanajeshi wa nchi za EAC, hadi Sasa ni Tanzania na Rwanda tu ambao hawajapeleka jeshi lake DRC ktk kikosi Cha EAC.You are not a soldier, wewe ni mdomo tu unapiga hapa Jamii Forums.
KQ ndio wamekuja kuomba hilo, lengo lao kuu wanataka kuitumia ndege yetu ya mizigo Ili kuisafirisha mizigo yao, Kenya hawana cargo plane, huu ni mtego kwa ATCL lazima wawe makini.Kaka nasikia kunyan airways wanataka ushirikiano na ATCL,hii ni kweli?
Tofauti na Tahmeed Kuna kampuni gani nyingine za maana huko Kunyaland?
Tanzania Buses View attachment 2587213View attachment 2587214View attachment 2587215View attachment 2587216View attachment 2587217View attachment 2587218View attachment 2587219View attachment 2587220View attachment 2587221View attachment 2587222View attachment 2587223View attachment 2587224View attachment 2587225View attachment 2587226View attachment 2587227
Mbeya hiyo Southern Highlands mkuuHapa ni wapii?
Haya ndiyo maeneo pekee yaliyobakia kuyatembelea.
Mbeya hiyo Southern Highlands mkuu
Lake Ngosi and Kisiba Campsite, Mbeya, Tanzania 🇹🇿 in specificNaomba location mkuu, nataka nitembelee.