Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Walikua wakidanganywa na wanasiasa kua tanzania bado ni ile ya 90s sasa leo wanashtuka wanatafuta shuka kumekucha tayar 🤣🤣🤣🤣
 
Aren't you the same person we were arguing with about this road and maintained that PPP was just a proposal but was quashed? Sasa leo imekuwa tena eti the first road in EA under PPP? You are so desperate!
Don't mix between Tanzanite bridge and Kigamboni bridge you idiot, Kigamboni bridge is more than seven years old and it is under PPP, but Tanzanite is a new bridge which I told you the proposal was rejected, I am smarter than you by far.
 
Hasira gani? Wakati nimekutumia link? Hata picha hujaangalia ukaamua kubisha tuuu? Uko sawa kweli? Au usukumagang umekuchizisha? Try to make ur arguments make sense aisee!
Geza wewe uwezo wako wa akili ni mdogo sana, huwezi kulingana na Mimi, huwa ninajishusha Sana kujadiliana na wewe, watu wengi wananishangaa Sana kujadiliana na "very low IQ person like you".

Wapi nimekubishia?, huyo mkenya ndio niliyebisha kwasababu sikuona alipoweka hizo picha, lakini aliponiwekea "link" ndio nikahakikisha na nikawashangaa hao waliokwenda huko, wapi nimekubishia?.

Conclusion; Mtu mwenye akili ndogo, kamwe hawezi kumuelewa mwenye akili kubwa.
 
Don't mix between Tanzanite bridge and Kigamboni bridge you idiot, Kigamboni bridge is more than seven years old and it is under PPP, but Tanzanite is a new bridge which I told you the proposal was rejected, I am smarter than you by far.
You are not anywhere near being smart. You are just outright desperate. Tuonyeshe toll station(s) za Kigamboni bridge
 
Jeshi letu bado ni jeshi imara, lilifanikiwa kuwafukuza M23 ndani ya wiki tatu, ninyi mimeshindwa hata kujaribu kupiga risasi.
Achana na longolongo za kijinga. The thing is, no aibu sana kuita hicho kituko eti ni gari ya jeshi lenu. Hiyo mkebe inatoshea wanajeshi wangapi ndani? Kuna vitu hata ni aibu watu wakishabikia kisa uzalendo!
 
Jeshi letu bado ni jeshi imara, lilifanikiwa kuwafukuza M23 ndani ya wiki tatu, ninyi mimeshindwa hata kujaribu kupiga risasi.
Muliwafukuza wakaenda wapi? Nchi zote za EAC zikona jeshi Congo under EACRF led by Kenya. Ebu ona huyo commander wa jeshi yenu vile anafuatilia instructions kama kurutu. 🤣 🤣 🤣 🤣

 
You are not anywhere near being smart. You are just outright desperate. Tuonyeshe toll station(s) za Kigamboni bridge
At least now you understand that I am not at your level, next time you have to be very careful with my post.

All information including photos of Kigamboni toll stations are available on Google, please make Google your boy friend, am not your boyfriend.
 
Of course I am not at your level. Your level of stupidity and desperation is out of this world and I am not anywhere near that level. You claim that bridge is a PPP but can't prove your claims then you mention Google to hide your ignorance about your country. What a clueless soul!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…