Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


joto la jiwe najua hutaki tu kusema jamaa ni kubwa jinga fulani. Umebaki ni wewe tu unajibizana nalo hilo tutusa. Jamaa ata usitaharabu kidogo unaomuonyesha kwa kumjibu bila matusi yeye haoni anabaki kutoa matusi. Achana nalo
 
joto la jiwe najua hutaki tu kusema jamaa ni kubwa jinga fulani. Umebaki ni wewe tu unajibizana nalo hilo tutusa. Jamaa ata usitaharabu kidogo unaomuonyesha kwa kumjibu bila matusi yeye haoni anabaki kutoa matusi. Achana nalo
Geza ninamuheshimu na kumpenda Sana, ninaweza kusema kwamba Mimi ni miongoni mwa watu wachache Sana wanaomkubali Geza hapa JF.
 
Huyo mzungu aliyekamata ndege yetu Kule South Africa, alifungua kesi ktk mahakama za Tanzania na akashinda kesi yake na mahakama za Tanzania zikaamuru GoT kumlipa fidia, nani aliyemfukuza Kama sio Nyerere?
leta supporting links! kesi ilikuwa mwaka gani na verdict ilitolewa lini! Huwezi ukaongea tu!
 
without sufficient money for salaries?

Mtu anasifia kitu anachowaza / tegemea kufanya na kuna 50/50 ya kufanikiwa. Au ndio yale Bajeti ya Harusi yetu ni milioni 800[emoji23], Baadae inachangwa laki na nusu wakaanza kusema , Muhimu kijana apate tu Jiko [emoji23]
Bajeti kupanga ni rahisi, Ku source hiyo fund ndio kazi yenyewe.
 
Hiyo 350 si ionekane on ground kama 150 ya Tz? Tunalipa mishahara, tunajenga miundombinu ambayo kwenu ni ndoto za alinacha, hatuna njaa, ni source of remittance kwenu.
Hahah tax mnapata inadhihirisha size ya economy yenu.
 
MARCOPOLO Assembled in Kenya
Our lazy neighbors import the same from China
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…