Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao ghana 🇬🇭 tulikuwa tunachuana nao gdp leo hii wanazidiwa na drc
Aiseeeeeee!
 
Walikuwa wanasema eti Kenya GDP ni almost 2× Tz GDP, kiko wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na mm nawaambia, tumewaacha mbali sn Wakenya kwenye GDP because our GDP ni $150b ila baada ya sgr kuanza operation soon tutagonga $200b, mda si mrefu watarekebisha takwimu zao na kuweka takwimu halisi.
 
Nchi ya uchumi mdogo haiwezi kufanya mambo makubwa na kwa mkupuo kama Tz. Tunajenga infrastructures za gharama sn, yn thamani ya infrastructures zinazojengwa Tz ni sawa na uchukue thamani ya infrastructures zote zinazojengwa EA combined na haifikii ya Tz na bado civil servants wanalipwa mishahara yao pamoja na bonus zote bila tatizo lolote na njaa hakuna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…