"Tuletee nchi yetu maendeleo" asante kwa comment je ugali uko juu ya meza??🤣🤣🤣Nairobi imeipita mbali Dar es Salaam kwa maendeleo.
Watanzania tuache kujidanganya, tupige kazi tuletee nchi yetu maendeleo na si blah blah.
Barabara nzuri Nairobi inaongoza, uchumi imara kwa maana ya mzunguko wa pesa Nairobi inaizidi Dar pakubwa. Hata hali nzuri ya hewa na muonekano wa mji Nairobi ipo miles nyingi zaidi ya Dar.
Kwanza ngoja nikupatie angalizo; nchi zote za Afrika Mashariki ni masikini tu. Watu wetu wengi bado wanaishi kwenye umasikini mkubwa. Kwa mfano wewe hapo inawezekana umeshindia ugali maharage tena umekula mchana pekee usiku huu ujala kitu."Tuletee nchi yetu maendeleo" asante kwa comment je ugali uko juu ya meza??🤣🤣🤣
Hawa jamaa mbona ugali wameupa thamani sn huko kwao?Not good news for Ugali Republic.
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Taifa 1 ready for launch this week at Space X!!! Kenya seems serious in Space Technology
View attachment 2585594
Hakuna mtanzania anayeongea hivi kabadilishe id urudi tena[emoji116][emoji116]Nairobi imeipita mbali Dar es Salaam kwa maendeleo.
Watanzania tuache kujidanganya, tupige kazi tuletee nchi yetu maendeleo na si blah blah.
Barabara nzuri Nairobi inaongoza, uchumi imara kwa maana ya mzunguko wa pesa Nairobi inaizidi Dar pakubwa. Hata hali nzuri ya hewa na muonekano wa mji Nairobi ipo miles nyingi zaidi ya Dar.
Mtanzania hasemi teletee nchi yetu maendeleo bahat nzuri mm ni mtu najua mpaka rangi za chupi zenu hilo mojaKwanza ngoja nikupatie angalizo; nchi zote za Afrika Mashariki ni masikini tu. Watu wetu wengi bado wanaishi kwenye umasikini mkubwa. Kwa mfano wewe hapo inawezekana umeshindia ugali maharage tena umekula mchana pekee usiku huu ujala kitu.
Baada ya kusema hayo nirudi kwenye hoja. Nairobi ni zaidi ya Dar hasa kama wewe unaangalia nafasi za kibiashara lakini pia ubora wa miundombinu. Dar es Salaam bado barabara za mitaa ni vumbi tupu. Nairobi lami hadi mitaani tena barabara zenye ubora.
Dar bado sana.
Mimi ni Mtanzania na ninasema wazi tu kwasababu watu wanaotembelea haya majiji mawili wanaona.
Onyesha makosa ya kiuandishi kuonyesha mimi si Mtanzania.Hakuna mtanzania anayeongea hivi kabadilishe id urudi tena[emoji116][emoji116]View attachment 2585832
bahat = bahatiMtanzania hasemi teletee nchi yetu maendeleo bahat nzuri mm ni mtu najua mpaka rangi za chupi zenu hilo moja
alaf pili kua maskini sio tatizo, manake unaeza kua maskini lakini unakula milo mitatu na ukawa maskini ukawa huna hata chakutafuna sasa nakufundisha ujue tofaut hzo 😆😆😆
Ww jifurahishe tu 👏👏👏👏👏👏 na karibu sana kwenye jukwaa jirani
Ni halali wakose pesa za mishahara🤣🤣Naona kichaka kimeota. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2585859