Wewe una matatizo hizo kampuni hapo hazipiti Bali zinaanzia safari Dar to Mbeya daily.👇
Hii battle umeshindwa kaa kwakutulia
Zinapitia kwenda wapi? Hapa ni Mbeya Dar vs Tanga Dar ,huko kwingine kunahusikaje?Ukitaka tutaje kampuni za Mabasi zinazopita njia tu DOM, MORO na SINGIDA zitaongoza kupitiwa na basi nyingi Tz ChoiceVariable
mbona anaongea kama Msambaa? Si ndugu zake Makamba snr hawa?
Huyu demu gn mkuu?Kumbe wanakula bata
Picha la kutishaMdogo mdogo tu. View attachment 2582187
Karne hii bado watu wanaishi maisha haya? Wakenya hebu njooni mtufafanulie. Huenda hii video ni ya mwaka 1980
Jengeni uwanja mpya bhn achaneni na hilo fupa 70s.