Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,183
- 107,783
wacha kupangia watu wenye hela zao wapi pa ku-invest era za mwendazake zimepita!Lakini Kwanini wameiweka Pangani, sio kwa ubaya ila return of investment yao haitakuaa kubwa , kama wangeweka mji yenye mzinguko mkubwa. Mwanza , Arusha au Dar au hata Tanga mjini
Pangani ni Mji wa Utalii Kuna beaches Kali kama za Zenji kule.Lakini Kwanini wameiweka Pangani, sio kwa ubaya ila return of investment yao haitakuaa kubwa , kama wangeweka mji yenye mzinguko mkubwa. Mwanza , Arusha au Dar au hata Tanga mjini
Usiseme pesa zitarudi vp hio ni choice ya mwekezaji lakini haina maana kama miji mingine haina potentialPangani ni Mji wa Utalii Kuna beaches Kali kama za Zenji kule.
Ukaweke Arusha na Mwanza pesa zitarudi vipi?
Mwanza tanzania 👇👇The greenery in Nairobi is on another levelView attachment 2578824View attachment 2578825View attachment 2578826