Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kutoka kwa mkenya πŸ˜…πŸ˜…

samahani kwa Watanzania wanaoishi kwenye nyumba kama hizi ila ukweli wa hizi kind of housings zimeelezewa vizuri na huyu mkenya especially kama unaishi na familia humo πŸ˜…πŸ˜…

watu wa pipeline wapo attacked

 
Watupe majibu kwanza hzo ndege ambazo zime ground ziko wapi na mwisho wake ni nn, na ile ndege iliyotekwa iko wapi, wasituletee mambo ya *******, ndege zipo na hazifanyi kazi huku air Tanzania daily ni delay tu wanakuja na majibu mepesi ya ******* senge, ooohhh ndege zinakuja, sasa ndege zinakuja alafu zile za mwanzo ziko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…