Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaongea kwa hisia nyingi sana and saying nothing. Aliyekuambia projects zetu are not demand-driven ni nani? Ama hapo ndio kujifariji imekufikisha? Unataka kutuaminisha kwamba Mwanza, your second largest city haina demand ya kuwa na interchanges to ensure free flow of traffic? Wewe ni kiazi kabisa

Ninyi hamkosangi vijisababu vya kijinga kutetea maendeleo yenu finyu huku mkikerwa na maendeleo ya watu wengine.

Railway city inayotaja, for instance, is not even funded by the government 100%. The government is simply providing land and necessary infrastructure for private investors willing to invest in the project, just like Tatu City. But look at what you've said above!!

Ninyi ni watu wa kuhurumiwa tu, nothing else
 
White elephant wakati it's handling your cargo? Do you even listen to yourself?
Handling 19 transshipment ship kwa miaka 2 hvi ww unaakili timamu ๐Ÿคฃ hebu tuambie imekusanya bei gani for those 2 yrs totaly nothing ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ