Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

utatuma pesa ksh 1000 kwa paybill nitakayokupa. ......kwenu ni 100000 tsh kama sijakosea kisha tutakufanyia vetting.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji574] [emoji574]
 
Wape vityuu HAWA kanjanja uwa ujinga wao hautaisha me uwa siwaelewi na nawadharau sanaaa wmunaweza kulikuta eti linasema watanzania bana hamuekewi wakati yapo tunayarusha tunayaifath sipend dharau sasa uko tz et tunawazid Barbara rudi kwenu mkatumie zenu nyoooooo
 
round ii mutaitana sana naona.... 😀😀😀
 
JamiiForums.com imechngamka kadoda?design kama nijiunge kama vp nipe details kwanza
bado ipo dormant. haijachangamka....mimi huwa sikomenti mara kwa mara.....kwa mwezi naweza nikakomenti mara moja au mara mbili....napenda kuwa msomaji zaidi kuliko muongeaji.huwa inasaida kujifunza tabia za watu wa nchi husika wanavyojadili masuala yao kwenye mitandao.

huwa nipo kule kwa ajiri ya kufatilia mijadala mbalimbali ya wakenya kuhusu siasa zao hasa upinzani wa NASA na jubelee.

mda mwingine napenda ku-observe mijadala yao kuhusu nchi jirani hasa hasa tanzania.

wakenya wa JamiiForums.com wanaijadili sana tz.wapo wanaoijadili vizuri pia wapo wanaojadili vibaya.

wapo wanaomkubali JPM,pia wapo wasiomkubali JPM.ni kama tu vile hapa jf,wapo watz wanaomkubali raila pia wapo watz wanaomkubali uhuru.

huwa na enjoy sana kusoma maandiko yao wakitoleana mapovu kuhusu jubelee na NASA.
 
unagopa watakuona mshamba na hicho kiswahili chako sanifu na ukijaribu kiingereza ni broken...sio?😀😀😀the truth will set you free..
 
owners wa JamiiForums.com
hawajafikia level ya kuwa na mobile app.... JamiiForums.com bado sana..hata interface yake haivutii machoni.jf ndio baba wa mitandao EA.
Nimetumia web hahaha bado kweli...jamii forum tamu...waje uku
 
owners wa JamiiForums.com
hawajafikia level ya kuwa na mobile app.... JamiiForums.com bado sana..hata interface yake haivutii machoni.jf ndio baba wa mitandao EA.
the real Kenyan Forum was Mashada Forum!!!!! JamiiForums.com bado mtoto
 
Ntajiunga nifungue tuition ya kiswahili
wacha tu ndugu..watakutusi upandwe na pressure bure...kama unadhani wakenya wa JF ni wabaya, nenda Ktalk ukajionee....hao hata mimi walinishinda... ....Pili, wakenya wanaweza wakaja JF na waka dominate ila mtanzania akidhubutu kwenda kule kusema sijui Dar ni bora sijui reli ni bora namwonea huruma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…