Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's life, you win some, you lose some.
 
Yaani hapo mzigo wa mafuta bado hujaisha na Alizeti nyingine ishachanua na itavunwa soon na atauza tena muda si mrefu, Bandika bandua [emoji41]
sustainable agriculture, na ndio maisha haya ya watu huko vijijini, hawana shida ndogondogo angalia nyumba yake ni ya kisasa na umeme anao na uhakika wa kesho upo

serikali ikifanya Tanzania angalau 90% iwe na on-grid connection, Tanzania itakua sayari nyingine, hii yote ni kutokana vijijini huko wana umeme wanaoweza kuutumia kuprocess alizeti na mazao mengine

 
why it's so rare to find an abled Tanzanian complaining about life's hardship/hunger

View attachment 2571648View attachment 2571649

It's because Tanzanians are hard workers, many African countries have lazy people. On top of that some African countries have very higher population in contrary with what they produce, so my opinion is, population of some African countries need to grow proportionally with what the country produce or otherwise should be minimized be it naturally or artificially by using violence like tribalism and civil war.
 
SGR Kenya ilichukua 3years to build and begin work, hii ya Tz banah how many years so far haijasha
Sasa wewe hili swali mbn unajidhalilisha, SGR ya Tz ni ndefu kuliko zote Africa na baadhi ya nchi nyingi duniani, SGR ya Tz ni mara tatu ya SGR Kenya kwa urefu, pia SGR yetu ni electrified huwezi kukamilisha tu kuweka machuma na kuanza kufanya kazi kama yenu, sisi yetu ikiisha kuweka machuma kuna kazi ya kuichomelea baada ya kuichomelea kuna kazi ya kuweka umeme.

Nyie yenu ni ya diesel na pia haiko welded kama yetu thus y ilitumia less than 3 yrs kukamilika ni kama MGR yetu, kwanza hata hiyo miaka mitatu naona kama ilikuwa mingi kukamilisha kuweka machuma tu, hiyo kazi mngetupa sisi tungewapa vijana wetu wa SUMA jkt wangeimaliza chini ya miaka miwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…