Haikuwa inafanya kazi?πππ Yani shirika Lina miaka 46 lakini hawajui hata faida ni niniππNdio ilikua imekufa ndio maana ikafufuliwa baada ya kuhujumiwa na private sectors
Sasa kwann uumie kuskia toka kufufuliwa kwake imepunguza hasara kwa almost 50% ndani ya mwaka mmoja ππππKwani tangu 1977 Mimi ndio nimezuia Air Tanzania kupata faida?ππ
Why should I be pained by a loss making airline? Air Tanzania is the only airline that has never made profit since its inception πππWw kinachokuuma ni kwann air tanzania imepunguza hasara kwa almost 50% toka kufufuliwa kwake just 3yrs ago ?πππ sasa hata ukiumia itakusaidia nn au utazuia nn
46 years and counting yet no profit. Equity bank ilianzishwa 1991 lakini inapata faida mingi kuliko kampuni zote za Tzπππ. Air Tanzania with 1977 to its name hata haijui spelling ya profit inaandikwa ajeπSasa kwann uumie kuskia toka kufufuliwa kwake imepunguza hasara kwa almost 50% ndani ya mwaka mmoja ππππ
Lakini imepunguza hasara from 60b to 35b within a year hio ndio furaha yetu ππππWhy should I be pained by a loss making airline? Air Tanzania is the only airline that has never made profit since its inception πππ
Nimekuuliza swali lakini bado umeshindwa kujibu. Air Tanzania ishaitengeneza faida?ππLakini imepunguza hasara from 60b to 35b within a year hio ndio furaha yetu ππππ
Asante air tanzania kazeni buti kuna utaku unakuja mbele yetu ππππππΉπΏπΉπΏ
Majirani zetu hasara inazidi over 50% π€£π€£
From 16b to 39b hahahahhahhaπππ
Hakuna siku nimekua na furaja kama leo
Nimekuuliza swali lakini bado umeshindwa kujibu. Air Tanzania ishaitengeneza faida?ππ
πππππ majibu yako ?πππ46 years and counting yet no profit. Equity bank ilianzishwa 1991 lakini inapata faida mingi kuliko kampuni zote za Tzπππ. Air Tanzania with 1977 to its name hata haijui spelling ya profit inaandikwa ajeπ
Lakini imepunguza hasara from 60b to 35b within a year hio ndio furaha yetu ππππ
Asante air tanzania kazeni buti kuna utaku unakuja mbele yetu ππππππΉπΏπΉπΏ
Majirani zetu hasara inazidi over 50% π€£π€£
From 16b to 39b hahahahhahhaπππ
Hakuna siku nimekua na furaja kama leo
Jibu Iko wapi? Mbona sioni faida kwa hizo tweets zako?ππππ€£πππππ majibu yako ?πππ
Hii ndio faida?πππ€£Asante air tanzania kaza buti air tanzania mumenifurahisha sana sana πΉπΏπΉπΏπΉπΏ hongereni sana sasa nimeamini kwann kq inakufa sasa nimeelewa ππππππ
From 60b to 35b ndani ya mwaka mmoja
Go go Air tanzania
Mbona sioni faida?ππππ€£From 60b to 35b ndani ya mwaka mmoja hongereni sana air tanzania πππΉπΏπΉπΏπΉπΏ
Endelea kujipa matumaini wakat nchi inazidi kuanguka kiuchumi π€£π€£π€£ rais wenu anahaha anataka walioficha dollars wazitoe sasa sijui waItoe wapi ikiwa hakunaSee the Kenya shilling to start rising again
Kuna shirika hijaipata faida tangu ianzishweπππ€£Kuna Shirika linapata hasara over 320m usd hapo hapo bado linamiliki ndege tatu chakavu hapo hapo linakopeshwa mapesa kibao from tax payers moneyπ€£π€£π€£π€£π€£
320m usd sawa na kununua boeing 737-800 nne mpya kabisa na change inabaki
Hongereni sana air tanzania mumefanya kazi kubwa sana na nilitegemea hvo πΉπΏπΉπΏ
From 60b to 35b sikutegemea ndani ya mwaka mmoja ππππ
Vipi wewe nyang'au kesho utaenda tena kula teargas?πππMbona sioni faida?ππππ€£
Hapana, Niko hapa kuwakumbusha that ATCL has never made a profit since it was started in 1977πππ€£Vipi wewe nyang'au kesho utaenda kula teargas?
Umeshashiba sio?ππHapana, Niko hapa kuwakumbusha that ATCL has never made a profit since it was started in 1977πππ€£