Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunachofurahia kupinguza hasara kwa almost 50% hio ndio furaha yetu vipi kwenu huko 🀣🀣🀣🀣 38.2b ksh ni sawa na 649b tsh na ni sawa over 320m usd

ATCL ishaitengeneza faida?
 
Dodoma sio size yenu ndio maana siiweki hapa pambana na fumba town kwanza 🀣
Dodoma can't even compete Isiolo, so why try to compare it with Tatu City? Dodoma was started in 1970's lakini hadi wa leo bado ni kama tu Mandera.
 
Dodoma can't even compete Isiolo, so why try to compare it with Tatu City? Dodoma was started in 1970's lakini hadi wa leo bado ni kama tu Mandera.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† dodoma imeanza kua capital city 1970 lakini serekali kuhamia dodoma na kuiendeleza na kua jiji imeanza within magufuli period hata ukikasirika ndio ukweli ndio maana huoni niki fanananisha na dodoma manake sio size yako kwanza malizana na fumba town
 
Asante kwa kubali kwamba Dodoma ilianza 1970 na bado haijafika hata 1% 50 years later.
 
ATCL toka imefufuliwa imepunguza hasara kwa almost 50% ni furaha yetu kua 2 yrs to come kwa speed hii tutakua tunazungumzia faida


Vipi kuhusu kq sasa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
ATCL haijawaipata faida na haitawahi pata faida pia πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kufufuliwa air tanzania imefufuliwa na magufuli with 3 yrs period of time and still investments going on bado wanajenga karakana za ndege bado wameagiza ndege yani bado investments going on πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜†
Kwani ilikuwa imekufa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yani tangu 1977 ATCL hata hawajui profit ni kumaanisha nini πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ATCL haijawaipata faida na haitawahi pata faida pia πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama imeweza kupunguza hasara kwa almost 50% wewe nani uizuie istengeze faida wakat mwaka huu ndege tano mpya zinaingia ikiwemo ya mizigo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kufufuliwa air tanzania imefufuliwa na magufuli with 3 yrs period of time and still investments going on bado wanajenga karakana za ndege bado wameagiza ndege yani bado investments going on πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜†
2023-1977. Hiyo ni 46 years bila faida and still counting πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani ilikuwa imekufa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yani tangu 1977 ATCL hata hawajui profit ni kumaanisha nini πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio ilikua imekufa ndio maana ikafufuliwa baada ya kuhujumiwa na private sectors
 
Kama imeweza kupunguza hasara kwa almost 50% wewe nani uizuie istengeze faida wakat mwaka huu ndege tano mpya zinaingia ikiwemo ya mizigo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Kwani tangu 1977 Mimi ndio nimezuia Air Tanzania kupata faida?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
2023-1977. Hiyo ni 46 years bila faida and still counting πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ww kinachokuuma ni kwann air tanzania imepunguza hasara kwa almost 50% toka kufufuliwa kwake just 3yrs ago ?πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† sasa hata ukiumia itakusaidia nn au utazuia nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…