We have more than one port remember that unlike you all cargo go through Mombasa except fot donkeys and charcoal cause there is a specific port for that purpose.Upuuzi wa Dar port kuhandle 17M tonnes in a year?
Hawa walifanya rapid expansion of fleet bila kuzingatia vigezo wakiamini KLM na Air France wataeka mzigo kuibeba KQ.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kukimbia nini haswaa??Leo nyang'au wote wamekimbia. Wanangoja kutulie kwanza waanze kuja na mapicha yao ya expressway[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umejitokeza huku unatokwa na machozi, ha ha ha. Nenda Kawangware kajiunge na wenzako.Kukimbia nini haswaa??
Dar munaiweza kwani ?? Ujenzi wa BRT phase 3 ushaanza na ujenzi wa BRT phase 2 uko over 90% bado munafkiri dar mutaiweza ?π€£π€£π€£99% ya watanzania hapa wanapost about kenya. Wakenya na watanzania wote wapost about Kenya, nani atatuonesha mazuri ya dar [emoji23][emoji23]
Mwenge city bus terminal hii kwenu ni mallππ99% ya watanzania hapa wanapost about kenya. Wakenya na watanzania wote wapost about Kenya, nani atatuonesha mazuri ya dar [emoji23][emoji23]
Imagine nchi makamu wa Rais kama yule inachaje kufanya uhuni.