Kabisa. Vyoo vya pale gereji kwake ni vichache halafu vichafu, milango imeliwa na fungus ,akina mama na watoto wanapata shida kujisaidia.Ukweli... kuna mambo ya kijinga sana anayafanya kwenye hiyo route.
Huyo karudi tena na GTC, jamaa wameishiwa kabisa mpaka huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Upuuzi huu hapaUpuuzi wa Dar port kuhandle 17M tonnes in a year?
Today in Lavington and Ngong Road
View attachment 2566987View attachment 2566990View attachment 2566991View attachment 2566992View attachment 2566993
Umeongea ukweli mtupu... hiyo garage yao nilienda pembeni nikanunua kiepe! Aisee safari iliharibikia hapo na nilipofika nilikaa siku 3 sijakaa sawa gharama kibao mpaka kurudi sawa. In short siwezi kurudia kupanda hilo bus kwa hiyo route.Lengo langu ilikuwa kufikisha ujumbe kwamba SGR italeta ushindani kwake, sema kosa langu nimeanzia katikati na kusikutaja madhaifu yake.
Mabasi yao ni mazuri, madereva wana kauli nzuri ila sasa kuna sehemu wana mapungufu inabidi wayarekebishe ili waende sawa na wengine.
Ni kama route ndefu hajaizoea. Dar lux tulimshauri lakini hakusikia i sasa hivi yuko wapi?
Ebu fikiria mnapanda basi Urafiki mkifika Mbezi mnafaulishwa ili mpande basi lingine la kwenda Bukoba au Musoma, kwenye kupanda hakuna anayejali mizigo ya abiria, ni usumbufu tu.
Mnaanza safari mkifika Morogoro mnapelekwa gereji kwao kujaza mafuta, hapo hapo nje kuna magenge mnaambiwa mnununue chochote.
Pamekaa kiswahili sana,vitu ni local,wakimaliza kujaza mnaingia ndani ya basi safari inaanza hao mpaka Kahama wanaamua kulala hapo hapo mpaka kesho alfajiri ndio mnaanza safari.
Njiani sasa basi ni kama daladala kuna abiria wanapanda na kuku, kuanzia Kahama,Nyakanazi, Biharamulo, Muleba kote huko ni kusanya kusanya. Mpaka mfike saa 7 mchana au saa 8 kasoro. Kumbuka ambao hawakulala Kahama wanafika saa 12 alfajiri.
Sasa hata kama wewe unampenda Abood karaha hizi utazivumilia?
Mji wenu wenyewe jina ni la Kiarabu alafu unataka utupige lecture kuhusu majina ya Kigeni.🤣🤣Eti Lavington haha,
Hayo majina ya Kizungu mnayatoaga wapi [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa kweli wajitafakari.Umeongea ukweli mtupu... hiyo garage yao nilienda pembeni nikanunua kiepe! Aisee safari iliharibikia hapo na nilipofika nilikaa siku 3 sijakaa sawa gharama kibao mpaka kurudi sawa. In short siwezi kurudia kupanda hilo bus kwa hiyo route.
China. Urban vertical slums
View attachment 2565980View attachment 2565982
Pipeline, Nairobi vertical slums
View attachment 2565983
Jamaa hawana elimu ni washenzi wa tabia pia sio wastaarabu kabisa, wachafu mno na hawana elimu ya utunzaji, kwa kifupi ni washenzi sn Wakenya hata uwajengee nn kesho tu utakuta kama cha miaka mia iliyopita, no wonder huwa wana save picha za uzinduzi ili kuendelea kuongopea watu.Haina hata mwaka sijui miaka miwili 2 lkn ilivyo sasa ni kama ina miaka 100 tuko ijengwe
- Mitaro iko wazi
- Sidewalk way ndo hivyo, binadam hawathaminiw
- Maua kwenye pillars ndo yametoweka, no maintenance
Meanwhile, ya ubungo ni kama ndo imetoka kuzinduliwa jana
View attachment 2567306View attachment 2567307
Hapa Mama pia angeongea kitu kwa hawa madogo kwenye vitasa wanatuwakilisha vizuri sana.Jana mandonga kapiga tena mtu huko kunyaland[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona kunyaland inataka kujitangaza kwenye boxing kupitia TanzaniaView attachment 2566044