Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Palm Village

IMG_6165.jpg

IMG_6164.jpg
 
Alaf wako comfortable kabisa kupanda kwenye malori wanaona sawa kabisa alaf uwaskie walivo kimbelembele wakitetea haki za binaadamu ilihali wao wanaishi kama wanyama

Haki za Binadamu zinapotezewa hivi hivi kuanzia kwenye hayo masufuria
 
Haki za Binadamu zinapotezewa hivi hivi kuanzia kwenye hayo masufuria
Yani mm nashangaa alaf anatoka kabisa anajisifu 😆😆 yani hata huyo mjapan alietengeza fuso anastaajabu na hii kenya kaaah utakuta wameekewa AC ya majumbani 👇👇👇👇👇 lock za milango ni za stoo na kufuli juu
Screenshots_2023-03-25-16-39-43.png
Screenshots_2023-03-25-16-40-00.png
Screenshots_2023-03-25-16-40-13.png
 
kwa style hii kilimo cha Tanzania kinaenda kukipita mpaka kilimo cha South Africa

dollars millions 300 for irrigation is thousands of hectares for irrigation schemes

Kiuzalishaji tumeshawapita kitambo as tunaproduce mazao mengi kwa wingi mkubwa kuliko wao na sector yetu ya kilimo inaajiri watu wengi kuliko yao. Kitu walicho mbele yetu ni utumiaji wa mbolea, pesticides, umwagiliaji na ulimaji wa kisasa.
 
Kumbe ni SA nilifikiri unaongelea failed state ndio imetupita kwenye irrigation nilitaka kuhama nchi
 
Mbona mna nchi ya kifala? Hiyo gari ikigongwa insurance ipi inalipa? Maana hata kama haijakuwa registered kuna namba maalum inapaswa kuwa nazo kuifanya kuwa road worthy!
Utateta hadi lini 🤣 mtu ananunua gari kama hio unafikiria anategemea insurance sana 😅
 
These houses in Kitisuru in Nairobi are selling at 500,000,000 Kshs. OK. 15 remaining for sell
20230326_101801.jpg
20230326_101814.jpg
 
Back
Top Bottom