Usijali,,,hiki kipindi kinapita tu Na mambo yatakuwa Sawa,
Mwaka jana wananchi wa uingereza waliandamana kutokana na high cost of livingFrance wana protest bei ya unga?
Know your lane [emoji2]
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Tatizo wewe uwezo wako wa akili ni mdogo sana, sio rahisi kuwa na "meaningful discussion" na wewe.The pride of any country is the performance of its national team at the international stage. Timu ya taifa ndio inapeperusha bendera ya nchi. Nitajie ni wapi bendera ya Uingereza hupeperushwa Arsenal ama Man Utd wanapocheza
Yes, in Tanzania we choose economy over pride, I know Kenya you value pride than anythingAt the expense of your national pride? [emoji2][emoji2]
Usifananishe tanzania na kenya bro kwenye maswala ya fursa za kitalii yani ni mbingu na ardhi ndio tofaut yake hakuna nchi africa yenye fursa nyingi za kitalii kama tanzania hakuna mark my words 😆😆😆 na tanzania ndio kama imeanza kutumia fursa za kitalii huu ni mwanzo tu ila yajayo yanafurahishaView attachment 2561199
Kenya and Tanzania are punching below their belt. They can do more than the 1m they are currently getting. There is more to these countries than wildlife and beaches. Just have to be creative.
Your argument is so shallow. Hivi hao wachezaji wa national team hawakosolewi kwenye employment na timu ya taifa? Hizo mechi zao hutazamwa bure bila mashabiki kulipia? Doesn't this create employment and help the economy?Tatizo wewe uwezo wako wa akili ni mdogo sana, sio rahisi kuwa na "meaningful discussion" na wewe.
Niliuliza hilo swali Ili baadae ndio niulize swali kutokana na jibu lake atakalotoa.
Sasa ngoja niendelee kujibu kutokana na ujinga wako.
The nation team gives pride to the nation, while football league creates employment opportunities, builds the economy of the country.
Now, are you for pride or for economy?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Maria sarungu ndio source yako 🤣🤣🤣🤣 ni mmoja wa watetezi ushoga hata sishangai jipigie makofi👏👏Watanzania ni waoga tu. Wanateseka na wamenyamaza😂😂😂
If it was such a big contributor in your economy, mngekuwa mbele yetu kiuchumi. Uzuri ni kwamba hiyo economy unayotaja tumewashinda na hizo timu zenu, your national team included, pia tunazinyorosha!! 😂😂😂Yes, in Tanzania we choose economy over pride, I know Kenya you value pride than anything
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
You want to tell us that all Kenyans can't control their lives, instead politicians decide for them?.Lakini you sound more of tribalist than even Kenyans. Our politics are shaped the way they are because of our origins. We are very proud of our 42tribes and that is not going to disappear even in 1000s years to come. The problem is when "politicians" use the masses for greedy self interest. But than doesn't mean Kenyans are divided.
Hapa ulijibu kama ng'ombe [emoji230]Your argument is so shallow. Hivi hao wachezaji wa national team hawakosolewi kwenye employment na timu ya taifa? Hizo mechi zao hutazamwa bure bila mashabiki kulipia? Doesn't this create employment and help the economy?
Wacha kusifia ligi iliyojazwa na foreigners wakati timu yenu ya taifa hupigwa kila kuchao!
joto la jiwe umejibu vzr sn hapa, kiukweli kabisa ni bora nchi iwe na ligi bora kabla ya kuwa na timu ya taifa bora, nchi za west Africa zilianza kuwa na ligi bora zen baada ya hapo wachezaji wakaonekana ulaya huko wakawa wanachukuliwa mpk hv sasa ni rahisi kwa wachezaji wa kule kwenda ulaya kiasi kwamba timu zao za taifa zinabebwa na hao wachezaji, pia ligi ina faida kubwa kiuchumi kuliko timu za taifa hilo lieleweke. Kodi ambayo inapata nchi kama England kutokana na ligi ni kubwa kuliko hata ile ambayo wangepata kwa national team yao kuchukua world cup.Tatizo wewe uwezo wako wa akili ni mdogo sana, sio rahisi kuwa na "meaningful discussion" na wewe.
Niliuliza hilo swali Ili baadae ndio niulize swali kutokana na jibu lake atakalotoa.
Sasa ngoja niendelee kujibu kutokana na ujinga wako.
The nation team gives pride to the nation, while football league creates employment opportunities, builds the economy of the country.
Now, are you for pride or for economy?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We pumbavu kweli kweli wewe, unajibu nini hapa ama njaa inakusumbua asubuhi asubuhi zinjanthropus wewe.If it was such a big contributor in your economy, mngekuwa mbele yetu kiuchumi. Uzuri ni kwamba hiyo economy unayotaja tumewashinda na hizo timu zenu, your national team included, pia tunazinyorosha!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahyo mambo yote hata yameanza tangu Ruto awe pres?acheni upuuziAcha ujinga
By saying unga they actually mean general cost of living including high taxes,
Basic needs .
Chizi wewe, kati ya Uingereza na Argentina, ni nchi gani inayopata pesa nyingi na kutengeneza ajira nyingi kutokana na football?.Your argument is so shallow. Hivi hao wachezaji wa national team hawakosolewi kwenye employment na timu ya taifa? Hizo mechi zao hutazamwa bure bila mashabiki kulipia? Doesn't this create employment and help the economy?
Wacha kusifia ligi iliyojazwa na foreigners wakati timu yenu ya taifa hupigwa kila kuchao!
Chizi hiloHapa ulijibu kama ng'ombe [emoji230]
Kwanini unapata tabu na hilo zinjathropus, jitu la kale hilo.Chizi wewe, kati ya Uingereza na Argentina, ni nchi gani inayopata pesa nyingi na kutengeneza ajira nyingi kutokana na football?.
Kodi inayopata nchi ya Uingereza kutokana na kuwepo na ligi ya Uingereza, ni zaidi ya mara 1000 ya Kodi inayopata Argentina kutokana na timu Yao ya taifa.
Ajira zinazotokana na kuwepo kwa ligi ya Uingereza pekee, ni sawa na ajira zote zinazotolewa na serikali ya Argentina kwa raia wake. Akili yako haipo sawa wewe
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app