Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani Katiba Mpya haijawasidia?
Mkuu wakenya ni watu wa ajabu Sana, kupenda kujisifia na kudhani Kila walichofanya wao ndio Bora na lazima nchi zingine zifuate kichwa kichwa hata Kama hilo jambo halina faida yoyote Hilo, katiba mpya haina faida yoyote katika maendeleo ya nchi zetu, zaidi ni kwa ajili ya kuwanufaisha "politicians" Ili kufikia malengo yao kiurahisi zaidi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hvi ww unaelewa kilichoandikwa au ??🤣🤣
Hayo ni mauzo ya cotton as raw material only and not finished goods leta data ya 2023 tuone ni kiwanda gani kinafanya kazi kenya
 
Only 19 vessels in the period almost 13 months, an average of one vessel per month, are you sure with this statistics?, If yes this fits very well with a definition of a white Big Elephant.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We all the real white elephant in East Africa is JNIA terminal 3 which has a capacity of 6M but only handles 500,000 passengers 🤣🤣😂🤣
 
Only 19 vessels in the period almost 13 months, an average of one vessel per month, are you sure with this statistics?, If yes this fits very well with a definition of a white Big Elephant.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
19 vessels in the period of two years not 13 months 🤣🤣🤣🤣🤣 from 2021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…