Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lamu port ndio topic hapa tunazungumzia kuhusu white 🐘 usipanic wala usibadilishe mada kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣
Did you know that in 2021 Mombasa port received 35M tonnes while all ports in Tanzagiza combined only received 17M tonnes?🤣😂😂.

Anyway how is TANESCO fairing with the electricity connection? Ama mishumaa ndio order of the day huko dark nation?😂😂🤣

20230319_145539.jpg
 
Hii yote ni dalili ya kupanic na hasira kilo 100🤣🤣
Mkiambiwa ukweli mnaona vibaya, kwani shida yenu ni nini?🤣😂🤣🤣. Kwanza wewe bonoko ndio zaidi, ukiambiwa ukweli unaanza kutetemeka😂🤣
 
Mwisho wa mwaka Mombasa port will receive more cargo and ships than all Tanzagiza ports combined 😂😂😂
Sasa ndio tutaanza kuona baada ya port za tanzania ujenzi kukamilika ndio tutaanza kupata majibu starting from this year and so on majibu lazma yatapatikana 🤣🤣🤣
 
Mkiambiwa ukweli mnaona vibaya, kwani shida yenu ni nini?🤣😂🤣🤣. Kwanza wewe bonoko ndio zaidi, ukiambiwa ukweli unaanza kutetemeka😂🤣
Ukweli gani wakuokota kila unachokiona sahihi kwako 🤣🤣 sio ww ulisema UN katutoa kwenye middle income level ukaja kugeuza mada nikakupa 2021 tunawapumulia makalio 😆😆

Hasira na chuki haziwez geuza wala kusimamisha maendeleo ya tanzania hio weka akilini
 
Sasa ndio tutaanza kuona baada ya port za tanzania ujenzi kukamilika ndio tutaanza kupata majibu starting from this year and so on majibu lazma yatapatikana 🤣🤣🤣
Hivo ndio mlisema pia kwa JNIA lakini bado it's still handling 1M passengers while JKIA is doing 9M😂😂🤣😂

Passenger Statistics - East African Countries (1).png
 
Back
Top Bottom