Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii Mada kiukweli inanionyesha jinsi gani Watanzania na Wakenya tuendako Sio kuzuri du!
 
Sasa wazazi wanakujaje jf jaman? Acha kucatch mafeelings bro πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ najua ichoboy kakukamata sehemu mbaya ila vumilia na upunguze hasira, sawa kibera dweller?
umemwuliza lakini?
 
check out this skyline
Kaka topic iliyopo mezani ni hotels znz vs msa, sasa mbona umebadili gia angani bila taarifaa? ilibidi ukiri kwanza kwamba umeshindwa then tuende kwenye topic nyingine, hahahaaa znz imekutenda vibaya jombaa, umediverge fasta mana uliona umegusa untouchable angle, kwikwikwiii, sio kwa confidence ile uliyomjibu ichoboy halaf ukahama mada fastafasta
 
Wacha kutuwekea minara kila page
Umeomba Mombaasa Vs Zanzibar vipi tena
mwenzako kaleta utoto...ila nilkua nimesha predict jamaa ataleta mzaha...ingekua kadoda bila shaka tungejadili kama wazee lakini wengine mpaka watairiwe mwanzo..nashuku ni teenager
 
fungua uzi maalum basi twende kazi....mwenzako utoto alionao hatuwezi tuka accomplish chochote
 
kwenye airpot ..hapo nawapa tano.....ila sisi tumeanza picha upya .....mkae kwa umakini
.
Huo uwanja wa ndege ni baadhi ya mali walizo tudhulumu, ulijengwa na jumuia ya Afrika mashariki wakati huo Nairobi ikiwa ndiyo kitovu cha anga kwenye jumuia.
 
.
Huo uwanja wa ndege ni baadhi ya mali walizotudhulumu, ulijengwa na jumuia ya Afrika mashariki wakati huo Nairobi ikiwa ndiyo kitovu cha anga kwenye jumuia.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kulia mnapnda sana
 
asante kwa povu...endelea ku-repost picha za cbd na upperhill upoze hasira.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa wazazi wanakujaje jf jaman? Acha kucatch mafeelings bro πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ najua ichoboy kakukamata sehemu mbaya ila vumilia na upunguze hasira, sawa kibera dweller?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…