Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
bombardier??kwenye airpot ..hapo nawapa tano.....ila sisi tumeanza picha upya .....mkae kwa umakini
hahaahha aise sijategemea unaniletea upuuziππππππwe uko serious ama ni ujinga na utoto wa kunitolea ulimi na emojis???
i dont think ur serious...@tuusan can we continue with the battle...huyu mpaka atairiwe kwanza ana utoto chungu nzima...hahaahha aise sijategemea unaniletea upuuziππππππ
Mombasa kuna 5* hotels ngapi,4*ngapi na 3* ngapi.....
Na Zanzibar pia ili tujue
hivi 300 million usd ni pesa nyingi??? enyewe miafrikaπππππunanihuzunisha...ongelea billions bana...300 m inasaidia nchi kivipi?? pengine ingekua ni familia moja tu...Chris Kirubi wa Kenya ana net worth ya 300m USD...πππmy simple and short analysis about the 300 million USD barrick gold has agreed to pay the government of tanzania.
wamekubali kutulipa "sisi tanzania" dola million 300 ambazo ni sawa ni ksh 31065000000.
tukumbuke gharama ya ujenzi wa pinnacle tower ni fedha ya kenya billion 20.
kwa maana hiyo,fedha ambazo barrick wanaenda kuilipa tanzania, zinaweza kujenga pinnacle towers tatu au nne nchini tanzania wakati kenya ikihangaika na ka-pinnacle tower kamoja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi hapo unajiona unalinganisha vitu vinavyofanana kweli? au ili mradi utujazie servers zetu? can you pliz grow up and compare apple to apple na uache utoto wa kuleta uchafu kucompare na 5* hotels? Labda uje na sector ya barabara coz kwa kenya kushindana na tz especially znz kwa hotels ni kujiaibisha tuDiani beach
Wakikuonesha wapi pinnacle inajengwa tafadhali nitag plzmy simple and short analysis about the 300 million USD barrick gold has agreed to pay the government of tanzania.
wamekubali kutulipa "sisi tanzania" dola million 300 ambazo ni sawa ni ksh 31065000000.
tukumbuke gharama ya ujenzi wa pinnacle tower ni fedha ya kenya billion 20.
kwa maana hiyo,fedha ambazo barrick wanaenda kuilipa tanzania, zinaweza kujenga pinnacle towers tatu au nne nchini tanzania wakati kenya ikihangaika na ka-pinnacle tower kamoja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ana beep mziki πππππHivi hapo unajiona unalinganisha vitu vinavyofanana kweli? au ili mradi utujazie servers zetu? can you pliz grow up and compare apple to apple na uache utoto wa kuleta uchafu kucompare na 5* hotels? Labda uje na sector ya barabara coz kwa kenya kushindana na tz especially znz kwa hotels ni kujiaibisha tu
kaulize mamakoHivi hapo unajiona unalinganisha vitu vinavyofanana kweli? au ili mradi utujazie servers zetu? can you pliz grow up and compare apple to apple na uache utoto wa kuleta uchafu kucompare na 5* hotels? Labda uje na sector ya barabara coz kwa kenya kushindana na tz especially znz kwa hotels ni kujiaibisha tu
Yani leo umenifurahisha sana sikutegemea unaniletea upuuzi kabisaππππππi dont think ur serious...@tuusan can we continue with the battle...huyu mpaka atairiwe kwanza ana utoto chungu nzima...
Zanzibar ndio ikufanye uwe na hasira hvoπππkaulize mamako
nimekwambia katairiwe kwanzaYani leo umenifurahisha sana sikutegemea unaniletea upuuzi kabisaππππππ
Hahahahah zanzibar sio sehemu utaigusa wewe hata kwa ukucha hio nakwambiaπππnimekwambia katairiwe kwanzahio ngozi matatizo
Mm naona minara tu juu ya majengo , na kitu ingine nime notice mnakula sana kuku wa kisasa(kuku jinga) na chips APA WANAUME MUWE MAKINI SANA NGUVU ZA KIUME ZITAWAISHA ila na vyakula vingine ni vya ovyo hamjui kupika , nimeamka na hangover natafuta supu jiji zima naambulia kukuta bones supuCity centre yetu ni kama ulaya