The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Onyesheni ni project gani kubwa ambayo inamuingizia pesa kwasasa, kwasababu muziki wake uneshapitwa na wakati, hapati tena pesa kupitia muziki Wala You tube viewers.
Ninaweza kusema kwa uhakika kwamba project zote za Akothe zinalingana na pesa anayopata Diamond katika " Wasafi beti" pekee.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwani kutembea dunia ndio inafanya mtu mwingine awe tajiri ama maskini? π€£π€£ππ€£Wewe hujatembea Dunia, ndio sababu utapapatikia Malaya Kama Akothe, huyo hana uwezo wa kumiliki Nyumba kubwa Kama hiyo Europe, hana helahuyo, onyesha miradi gani inayomuingizia pesa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa Kama sio mwanamziki, yeye kazi yake ni umalaya, vipi unamuweka kundi Moja na wanamziki?, Mtafutie kundi la Malaya wenzake ndio ulinganishe nayeHuyo mtembeza Ku-m-a ameshinda wasani wote wa Tanzania na pesa[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Umenirahidishia kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi ninyi mnamjua Diamond au mnamsikia, mtu ambaye anawekeza miradi pamoja na Holly wood super stars, ninyi mnataka beach za Diani, mashamba ya miti na shule, are you really serious?.
Mwanamziki pekee ambaye anaweza kumzidi Diamond katika uwekezaji ukanda huu ni Fally Ipupa na Kabda Kofii Olomide kwasababu ameanza zamani.
Wasafi TV na Redio stations pekee, zinatosha kumfanya kuwa mwanamziki tajiri kuwazidi wanamziki wa Kenya wote kwa pamoja.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama yeye ni Malaya basi Diamond tutamuitaje? Diamond anatomba na kupitaπππ€£πSasa Kama sio mwanamziki, yeye kazi yake ni umalaya, vipi unamuweka kundi Moja na wanamziki?, Mtafutie kundi la Malaya wenzake ndio ulinganishe naye
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We jamaa bhn, umemaliza kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I bet, Akothee hafikishi hata $2M katika utajiri wake wote. Anapata wapi pesa?, Jana investment yoyote ya maana, wala hana Endorsement yoyote kutoka kwa makampuni makubwa.
Diamond ana Endorsement za karibia makampuni yote makubwa, kuanzia Pepsi, Airtel, Bank na mengine ndani na nje ya nchi. Huyo Akothe nje ya Kenya nani anamjua?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Keshachemka maskini ya Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amini unachotaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]. Siku Diamond atafika level ya Akothee uniambie [emoji1787][emoji1787][emoji23]
Toa ujinga wako huu, Yuko wapi Back Coffee katika hii list, the richest musician from South Africa?, Where are AKA na wanamziki wengine toka South Afrika?.Nyinyi ndo mnalazimisha. Mimi nafuata Forbes[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
View attachment 2554426
Watchman hoyeeeπππ€£ππKeshachemka maskini ya Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nmekuambia anzisha uone, au nianzishe mm? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani hamchoki kucharazwa?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Hii sector si tulishawagonga kitambo sana mkaanza kulia ati sijui ooh, mnapost tu private hospitals [emoji23][emoji23][emoji1787]
Tena hutetei Diamond? Ama umeona Diamond ni hasara kutetea juu hasaidiki?π€£π€£ππ€£Toa ujinga wako huu, Yuko wapi Back Coffee katika hii list, the richest musician from South Africa?, Where are AKA na wanamziki wengine toka South Afrika?.
Akothe ninakuhakikishia hafikishi hata $2M, ukiniletea evidence ninafunga account yangu hapa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
I don't make decisions with watchman πππ. Ukitaka kuianzisha anza tu tutakupata mbele, ukianza kupost please don't forget hile hospitali yetu pendwa (Nairobi Hospital) yenye huwa inatibu matajiri wa Tanzania π€£π€£ππ€£.Nmekuambia anzisha uone, au nianzishe mm? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Diamond yeye anatoa pesa kwenda kwa hao partners, lakini Akothe yeye hukusanya pesa toka kwa hao wazungu.Kama yeye ni Malaya basi Diamond tutamuitaje? Diamond anatomba na kupita[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Actually Diamond and Akothee have one thing in common. They change partners like clothes [emoji1787][emoji1787][emoji23]
Link iko wapi mse ng.e weweNyinyi ndo mnalazimisha. Mimi nafuata Forbes[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
View attachment 2554426
Diamond ni Malaya bwana πππ€£πDiamond yeye anatoa pesa kwenda kwa hao partners, lakini Akothe yeye hukusanya pesa toka kwa hao wazungu.
Ukiona Diamond amepost Nyumba, jua hiyo ni Mali yake, lakini Akothe, lazima ni Nyumba ya mabwana zake, hasa akiwa nje ya nchi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Jitafutie our dear watchman π€£π€£πLink iko wapi mse ng.e wewe