Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeweka shule nyingi tu - huo ulikuwa mfano wa shule tunazopost vs mnazopost so ilibidi lazima nipost shule ambazo zilikuwa zimeshapostiwa..
Sasa kwanini kila mkenya anarudia shule hiyo?
Wewe umeweka shule 5 tu. Nimezihesabu. Mwenzako kaja akazirudia hizo tano na akaongezea zingine sita. Je, kenya kuna shule 11 tu?
 
Hizo 10k ziko wapi? au ndio hizo 5 mnazzopost toka juzi?
Tunapost shule zenye hadhi humu, sio kila kitu tuu. Na haturudii shule, mkishindwa mnaanza kutoa vijisababu. Kwa number of schools tunawapiga, kwa quality world class schools tunawapiga. Sasa for now tunapost the top cream schools, nyinyi mnaokota tu chochote kile mkitupa humu juu world class schools hapo hazipiti 10.
 
sijaona shule hata 1 ya maana mliyopost so far
 
Kwa maneno labda. But nikichungulia hizi vitu mnazopost hata Uasin Gishu County hiyo Dar haiigusii.
Mzee baada ya kujua kiswahili umekuwa mtu wa kutoa mipasho tu, vitendo zero.
Hebu tuwekee shule kumi faster zilizojengwa baada ya uhuru. Hatutaki nyenyenye!!!!
 
Yani kwa my village kunazo. Hii hapa iko kwa village yangu huko ushago. Ingekuwa Bongo wangekuwa washaipost eti ishindane na Aga Khan Mombasa ama MPESA School Thika. 😅 😅

View attachment 2551915
Hii shule tayari uneshaweka. Je tuite hii ni inferiority complex? Acha kulalama weka shule kumi zilizojengwa baada ya uhuru wa kenya. Tunakusubiri
 
tafuteni kitu kingine cha kushindana na Tanzania lakini sio kwenye shule, unganeni hata na Uganda uliosema ndio level yenu bado tunawapiga tu, mpaka sasa points ni Tanzania 10, kunyaland 1
Mnatuwekea shule za ovyo huko kisha mnajitangaza washindi kisa mmeweka nyingi [emoji23]
 
Halafu kishule chenyewe kidogo kimefinyiliwa mahali unaambiwa ndio the most expensive hapo Bongo. 🤣🤣
Mzee mipasho tu huweki chochote. Zero kabisa. Nimeamini kenya hawana shule za maana. Asante kwa kuonesha hivyo. Hatutaki tena mtuletee hii kauli ya kishamba. Ukurasa huu tumeufunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…