NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,284
- 19,628
Kuna shule moja pekee ya maana mmepost humu, zingine zote upuzi. Angalia shule zetu architecture ilivyo nzuri.imeuma hiyo πππ zote mlizopost ninyi ni substandard na hatusemi, huwezi kulinganisha hata siku 1 shule za Tanzania na zenu kwa standards, tumewaacha mbali sana
Kuna shule moja pekee ya maana mmepost humu, zingine zote upuzi. Angalia shule zetu architecture ilivyo nzuri.
Aga Khan Academy - Mombasa
Sasa ukilinganishe hii na huo utopolo unapost kabisa unaona ligi? π€£ π€£ π€£
best way to say 'am defeated' without saying am defeated πππKuna shule moja pekee ya maana mmepost humu, zingine zote upuzi. Angalia shule zetu architecture ilivyo nzuri.
Aga Khan Academy - Mombasa
Sasa ukilinganishe hii na huo utopolo unapost kabisa unaona ligi? π€£ π€£ π€£
πππππ bwege huyu kama unakumbuka alianza na vumbi na tope, yaani yote hiyo kuonesha alivyo kula KOWamebaki na mipasho tuu, wanaomba mada ibadilike, sisi hatujamaliza, zimebaki shule kama 700 hivi hazijapostiwa mana hapa nnapoishi nje kuna secondary mbili na kali alafu sijazipost [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani this onebest way to say 'am defeated' without saying am defeated πππ
unatoa wapi guts za kukosoa hayo majengo wakati majority of reside in these kinds of buildings πππYani this one
Defeats this one - na bado unaona kichwa chako timamu? π€£ π€£ π€£
Tukitoka hapa twendeni kwenye primary schools, kuna mkenya mmoja alipost hii picha, eti ndiyo shule imejengwa na Government, yn serikali inakusanya kodi alafu inawajengea raia shule kama hii, yn serikali ya Kenya sijui inawachukuliaje Wakunya aloo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bwege huyu kama unakumbuka alianza na vumbi na tope, yaani yote hiyo kuonesha alivyo kula KO
Hahah mashule ziko na design za githuria bedsittersYani this one
Defeats this one - na bado unaona kichwa chako timamu? π€£ π€£ π€£
Wakunya mmetoa wapi madirisha ya aluminum, sliding windows kwenye nyumba zenu? ππππHahah mashule ziko na design za githuria bedsitters
Unajenga aje shule kama manyumba za kupangisha!!!
Manze, ile Githurai wanashinda wakidiss ndio sahii wanaseifia. Kumbe wakiwa na Githurai huko kwao wanaweza ringa. π€£ π€£ π€£Hahah mashule ziko na design za githuria bedsitters
Unajenga aje shule kama manyumba za kupangisha!!!
Ishara ya kushindwa hii. π€£ π€£ π€£unatoa wapi guts za kukosoa hayo majengo wakati majority of reside in these kinds of buildings πππ
madirisha makubwa hivyo mnayatoa wapi huku? hizo finished walls umeziona wapi Kenya? madirisha ya aluminum ya kuslide Umeona wapi Kenya?
View attachment 2551235View attachment 2551236View attachment 2551237View attachment 2551238
kushindwa nini?Ishara ya kushindwa hii. π€£ π€£ π€£
πππππ angalia kituko kama hicho ndio marking scheme yake ya ubora wa shule halafu huyo huyo kima anaicheka hii shule ππππTukitoka hapa twendeni kwenye primary schools, kuna mkenya mmoja alipost hii picha, eti ndiyo shule imejengwa na Government, yn serikali inakusanya kodi alafu inawajengea raia shule kama hii, yn serikali ya Kenya sijui inawachukuliaje Wakunya aloo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2551246
Just compare the quality of schools I'm posting na huu upuzi wako alafu uniambie. Yani hizi shule huku Kenya ni za CDF. Google CDF utaona ni nini.kushindwa nini?
Hata kwenye shule zetu za vijijini za msingi wamewapita mbali sana kwenye ubora wa madarasa, nioneshe shule zenu za msingi zenye aluminum windows, gypsum, tiles nifunge virago πππ
Kwenye ubora hampo kabisa tokeni huko haraka πππ
View attachment 2551289View attachment 2551290View attachment 2551291View attachment 2551292View attachment 2551293View attachment 2551294
Hii shule ilituangaisha sana KCSE zile siku zetu bradhee. Sikuizi siiskii sana.
Kwanza nilichogundua shule zenu hazina computer labs, biology labs, chemistry labs, physics labs, library, hamna playing grounds na shule zenu hizo kiduchu mlizopost ni finyu, vishule vidogo mno haina hata mikondoJust compare the quality of schools I'm posting na huu upuzi wako alafu uniambie. Yani hizi shule huku Kenya ni za CDF. Google CDF utaona ni nini.
Ukiangalia post zangu nyingi nimepost nyumba na aerial view. Hebu nionyeshe aerial view moja ambayo haina hizo facilities. HeheheKwanza nilichogundua shule zenu hazina computer labs, biology labs, chemistry labs, physics labs, library, hamna playing grounds na shule zenu hizo kiduchu mlizopost ni finyu, vishule vidogo mno haina hata mikondo
inawezekana anyone with a 3 bedroom house anaweza kubadilisha kuwa shule anytime he wants to