Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani mtanzania has the guts kutaja mpangomji wakati Dar nzima hakuna mpangilio wowote! Wewe ni kama ulijoin hii battle juzi. Wenzako walishakubali kitambo sana Dar haina mpangilio
 
Umesema vizuri Biology is a Greek word, then how come inageuka na kuwa neno la kingereza Tena?[emoji23][emoji23]
In Greek it is "Bios logos" not Biology
Lugha ya Kiingereza imejipatia msamiati kutoka kwa lugha ya Kigiriki na kuunda neno "Biology"
Kwa sasa neno "Biology" lipo kwenye English dictionary lakini halipo kwenye Greek dictionary.
Elewa, in Greek it is called "Bios logos". Biology is its English word, but the origin remains to be Greek.
 
Yani mtanzania has the guts kutaja mpangomji wakati Dar nzima hakuna mpangilio wowote! Wewe ni kama ulijoin hii battle juzi. Wenzako walishakubali kitambo sana Dar haina mpangilio
Uswazi ndio hakuna mpangomji lakini nyinyi hadi CBD hakuna mpangomji [emoji38][emoji38]
 
Biology is not an English word idiot. English just use it because it's not among their vocabularies, just like Ugali. For Chapati, Meza, Dunia, these are vocabularies in swahili language and you think they are Kiswahili 😂😂
 
Biology is not an English word idiot. English just use it because it's not among their vocabularies, just like Ugali. For Chapati, Meza, Dunia, these are vocabularies in swahili language and you think they are Kiswahili [emoji23][emoji23]
So you can't explain to someone without calling him an idiot[emoji706][emoji706]
Answer this question in English.
The branch of science that deals with the study of life is called .............
 
So you can't explain to someone without calling him an idiot[emoji706][emoji706]
Answer this question in English.
The branch of science that deals with the study of life is called .............
Life study.
 
Huyo nyang'au hata umueleweshe vipi hatakuelewa, usipoteze muda wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…