Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Number of secondary educational institutions in Kenya 2013-2020​

Published by
Lars Kamer



,
Aug 1, 2022
As of 2020, Kenya counted 10,413 secondary educational institutions, including private and public schools. The amount decreased from 10,463 in the previous year. However, compared to 2013, the number of secondary schools increased by roughly 33 percent.
 
Wakati huo Tanzania ilikuwa kwenye utumwa. Bara la Afrika limepitia utumwa pia, hata Kenya ilitawaliwa. Kwani history hamjasoma [emoji1787][emoji1787]
Na bado mmebaki na huo utumwa. So sijui mbona mkiskia tunazungumza kingereza mnaskia vibaya.
 
As of 2021, Tanzania had just over 5,280 public and private secondary schools. The number of secondary institutions has been slightly increasing in the country. In 2019, there were over two million students enrolled in secondary education in Tanzania.7 days ago..


LOL.....HATA HAMTUFIKII NUSU......Salalaaa
 
stop wasting time posting those ugly schools........numbers dont lie
 
Na bado mmebaki na huo utumwa. So sijui mbona mkiskia tunazungumza kingereza mnaskia vibaya.
Nyinyi ndio watumwa kwa sababu baada ya lahaja yetu kusanifishwa na nyinyi ikawapasa muanze kutumia lahaja yetu[emoji23][emoji23]
Sisi tunatumia lahaja yetu ileile. Mzungu alichokifanya ni kusanifisha Kiswahili chetu tu, ikasaidia kuua lahaja zenu[emoji38][emoji38]
 
huna akili wewe, Tanzania shule moja unakuta ina wanafunzi hata 2k unalinganisha na hivyo vishule vyenu vya wanafunzi 50?😂😂😂😂
 
Chapati ni lugha yenu?😂😂
 
Mbona kwenye sgr Nairobi Mombasa watu wa mabasi hawajalalamika na ku file lawsuits. Hiyo uliyoongea hapo ni rubbish kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…