Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kuzaliwa kwake ni africa tanzania na ni lugha inayotumika tanzania kwa asilimia 100 hakuna nchi inatumia kiswahili kwa asilimia 100 zaidi ya tanzania ukiipata hio nchi nitag๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Kiswahili is not a serious language to me. Mara kihindi, mara kiarabu. And sometimes even Portuguese words pia ziko ndani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hapo ndio uelewe kuwa Kiingereza ni lugha tu kama ilivyo kwa Kiswahili.
Naombeni turudi kwenye mada ya njaa na misaada kenya na siasa zao zinavowavuruga pamoja na uchumi wao wanajaribu kubadilisha mada ili kututoa mchezoni turudi kwenye mambo ya uchumi naombeni tupige kwenye kidonda ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hawana lolote hawa nyang'au. Njaa tu inawasumbua.
 
Kwahiyo Tz inaizidi Kenya kwenye idadi ya maskini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ