The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,996
Usipate shida gharama yake hizo hapo chini, fees kubwa kabisa ni Ksh 2,505,000 ambazo ni sawa na Tzs (2,505000×17) = Tzs 42,585,000.Kama nilivyosema, nilitaka kupost shule za mtu wa kawaida. Ila kwa sababu umeuliza,
wacha niwape snipet of what an international school is supposed to look like muache aibu ndogo ndogo. Nimeona mwengine ameangalia cost ya IST anaona kama ni the highest in Africa. Mwambia agoogle hizi aone anavyojiabisha. Narudia, hiyo IST sii hadhi ya International school hapa Kenya. Hiyo ni normal private school tuu.
Brookhouse School
Who cares. Tunakupiga za chembe ubavuni. Leo lazima utoe nyongoHii ndio unataka ishindane na MPESA school?🤣🤣🤣
Nilikuwa najua tu utakimbia. Nenda kajichimbie utafute picha. Usiguse kabisa kwenye issue za Education.Wacha nishughulike kiasi. Nitarudi baadae kuwapiga makombora ya shule. Reuben Challe wewe unakaa tofauti kidogo ya wenzako at least unajadili logically. Nitakuja tumalize hili la mashule nawe. Hawa wengine wako ovyo sana wanabishana kama watoto wadogo.
Kakimbiaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wacha nishughulike kiasi. Nitarudi baadae kuwapiga makombora ya shule. Reuben Challe wewe unakaa tofauti kidogo ya wenzako at least unajadili logically. Nitakuja tumalize hili la mashule nawe. Hawa wengine wako ovyo sana wanabishana kama watoto wadogo.
Hii Braeburn yenu ni kama branch ya Braeburn zenu. Haiwezi gusa Braeburn Lavington, Braeburn Garden City,Braeburn Imani na Braeburn Nanyuki. Ila naweza sema ndio international school ya Bongo yenye inajitahidi at least.Braeburn International School
Dar es salaam, Tanzania.View attachment 2548492View attachment 2548493
Wacha kulalamika lalamika, weka picha.Hii Braeburn yenu ni kama branch ya Braeburn zenu. Haiwezi gusa Braeburn Lavington, Braeburn Garden City,Braeburn Imani na Braeburn Nanyuki. Ila naweza sema ndio international school ya Bongo yenye inajitahidi at least.
Nataka sas nikandamize na picha za kumwaga....Wacha kulalamika lalamika, weka picha.
International School of Tanganyika hujaiona au. IST ni nzuri kuliko Braeburn ndio maana ada yake ni very expensive probably than any school in the East AfricaHii Braeburn yenu ni kama branch ya Braeburn zenu. Haiwezi gusa Braeburn Lavington, Braeburn Garden City,Braeburn Imani na Braeburn Nanyuki. Ila naweza sema ndio international school ya Bongo yenye inajitahidi at least.
Kwenye reycling wanachukua zile clear tu ndio maana wale wakusanya plastic bottles hawachukui Mo au Azam energy bottles. Mo na wenzie inabidi wabuni mbinu ya kukusanya chupa zao.Yaani sijui kwa nini Za Mo wale wakulungwa hawazichukui, zipo kila Kona mtaani, Kuna Jamaa wa World Bank alikua ananiuliza nini cha kufanya maana aliona interview ya Mo CNN anavyosema anavyolinda mazingira na recycling lakini chupa za Mo extra zimezagaa kwenye mitaro na mtaani, Huwezi kuta Chupa zingine zimezagaa kama zake.
Shule yao ya gharama Kenya nzima ni TZS 42mil wakati IST ni zaidi ya mil 80 kwa mwaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]International School of Tanganyika hujaiona au. IST ni nzuri kuliko Braeburn ndio maana ada yake ni very expensive probably than any school in the East Africa
IST ni ovyo sana. Nimeona picha zake humu haiwezi gusa Brookhouse, leave alone ISK. Halafu usiangalie how expensive a school is, angalia quality. Sasa ukilipishwa pesa nyingi ndio shule ni nzuri eti? MPESA School ni free, utasema hizo shule zenu vumbi zimeishinda kisa school fees? Alafu IST chenyewe kishule kidogo. Angalia ISK, St. Andrews Turi, Peponi school alafu uniambie. Halafu Brookhouse is not even the most expensive in Kenya kama ni school fees unataka kuangalia. Nadhani Kenya ISK ndio the most expensive ila kwa quality nikifananisha IST na internation Schools za Kenya hiyo IST bado sana.International School of Tanganyika hujaiona au. IST ni nzuri kuliko Braeburn ndio maana ada yake ni very expensive probably than any school in the East Africa