Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maskini ya Mungu ile sehemu ambayo Nicxie anajidai nayo kwa kuweka picha humu inavunjwa yotee, sasa sijui atapost nn kujiliwaza [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2547509
Tatizo ni ccm ni mafii wanalipwa fidia kwenda kuanzisha takataka zingine sehemu nyingine ...serikali ilitakiwa kuvunja na kujenga vizuri watu wakabidhiwe funguo tu siyo kuwapa pesa ....kosa kubwa sana ...nimeshuhudia watu wanao lipwa pesa wanakenda kujenga tena ovyo ovyo maeneo mengine
 
Sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…