Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kawaida yao siku zote kuanza chokochoko za kibiashara uwanja unapoinama.

 
Ajabu kweli ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ mtu unalazimisha kuijua DAR kwa picha kana kwamba umeshawahi kufika, poor guy.. haya tueleze hii ๐Ÿ‘‡ ni Kariakoo mtaa gani.? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Ajabu kweli ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ mtu unalazimisha kuijua DAR kwa picha kana kwamba umeshawahi kufika, poor guy.. haya tueleze hii ๐Ÿ‘‡ ni Kariakoo mtaa gani.? View attachment 2542137๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ndio maana nawaambia hii Dar yenu linganisheni na Kampala. Hiyo Ilala haiingii hata robo ya Eastleigh, Wacha hata Kilimani

Ilala

Eastleigh
 
Mwenzako alisema hiyo butterfly hotel ni bango la matangazo na kwamba haipo Kariakoo
 
Wanajitoa ufahamu hawa vilaza, kila kitu iko open..., dunia ya leo porojo na uongo hazisimami..., wakipata anything nje ya CBD yao kama Eastleigh waambie wanitag..., Dar yoote tumeichambua, ni uswazi 80%..,
Eastleigh hata umeenda mbali sana. Tuwapatie Lucky Summer, an ordinary estate in Nairobi. Watuonyeshe sehemu imejengeka kuliko Lucky Summer nje ya hiyo cbd yao tuone
 
Eastleigh hata umeenda mbali sana. Tuwapatie Lucky Summer, an ordinary estate in Nairobi. Watuonyeshe sehemu imejengeka kuliko Lucky Summer nje ya hiyo cbd yao tuone View attachment 2542271
Hawa ni kujichocha wanajichocha tu.., lately sina hamu nao tena, yaani for the last 5 years Dar haijaongeza anything substantial..., no major skyscrapers nor interchanges , bypasses nor estates, while Nairobi zimejengwa, hawana jibu,, from westy to upperhill kuna major skyscrapers coming up Dar imezubaa wameanza kulaumu Samia Suluhu..,
 
Kuna nyingine zaidi ya haya unitag? pengine mama Samia ameongeza CBD nyingine in Dar, sasa zimekua mbili...,๐Ÿ™„๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†


Watakumbia hili eneo la linear development lenye maghorofa matano kando ya barabara na uswazi bembezoni ni cbd pia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ