Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua ukubwa wa hizo area kweli, Dar CBD + Kariakoo + Golf club inatoshana na Nairobi CBD pekee. Sasa unataka tuongezee hadi Upper Hill + Westlands tuonee.

View attachment 2541152
View attachment 2541153
Kariakoo haiko CBD aliekwambia kko iko CBD ni nani??🤣🤣🤣

Hii hapa nairobi CBD haya utaniambia nn kingine 😆😆😆 2.2km sq









CBD dar 👇👇👇2.8km sq
 
Hiyo sehemu unayoidharau ina HQ ya Vodacom TZ, HQ ya FINCA, HQ ya Barrick Gold, HQ ya TCB bank, HQ ya Halotel, HQ ya Access Bank, HQ ya TIGO.

Halafu badi unaleta dharau. Na hizo hapo ni baadhi tu!
Mombasa road Ina HQ ya Airtel Kenya, Isuzu East Africa, Nissan Kenya, Panari Hotel, Ole Sereni Hotel n.k na hauiesabu kuwa CBD. Wacha umbwakni.
 
Acheni upuuzi sasa [emoji23] you guys are being pettier day by day..
Btw sioni battery/source of power
Nani ni mpuuzi kati ya mtu anayefurahia "mile stone" ambayo imekua reported Hadi na international media, na mtu anayeulizia "source of power" katika Dunia hii ya "wire less technology?".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…