I was going to tell him the same thing. Yani mtu aseme eti vijijiniwanajenga majumba makubwa wakati jijini Dar wamejaza uchafu zenye bati zilizoluwa na mchwa!😃😃😃Kama mjini mnajenga Huu uchafu Sasa kijijini mtakuwa na majumba?🤣🤣
View attachment 2529370
Wewe Nina uhakika kijijini mamako anaishi kwa nyumba ya tope.
Etieeeeee.Sena unaumia. Eti uswazi?? Nairobi hakuna uswazi bongolala
Hii road imeifunika Thika jua kali road kwa mbali sana kiasi kwamba hawana hata hamu ya kupost jua kali type yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]BRT lanes. Hizi lanes hata hazisemwi sana na ni ndefu sana. Hapa wamepiga ndege wawili kwa Jiwe moja.
View attachment 2536856
View attachment 2536857
View attachment 2536858
Nairobi CBD [emoji116][emoji116]I was going to tell him the same thing. Yani mtu aseme eti vijijiniwanajenga majumba makubwa wakati jijini Dar wamejaza uchafu zenye bati zilizoluwa na mchwa![emoji2][emoji2][emoji2]
Hasira ni kutokubaliana na ukweli
Wazee wa lipstick mmeona habari zinavyoenda?BRT lanes. Hizi lanes hata hazisemwi sana na ni ndefu sana. Hapa wamepiga ndege wawili kwa Jiwe moja.
View attachment 2536856
View attachment 2536857
View attachment 2536858
Wazee wa lipstick mmeona habari zinavyoenda?
Sura za Wakenya, RIP.View attachment 2537012
Maisha yangu yapo juu bongolala [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2537023
Kwahiyo Rostam Aziz amekimbia Tanzania?. Kwa taarifa yako, Rostam anewekeza kiasi Cha $800M Tanzania, Sasa huko Kenya ndio kwanza anataka kuwekeza $200M, tayari mnaanza kupiga kelele.They didn't run away, they simply expanded into Tanzania and invested very little money there because of your limited purchasing power. Mention any Kenyan company that wound up its business in Kenya and came to invest in Tanzania