yeah, our matatu atleast has breathing space inside... those brt are a death trap too parked, its like our commutal trainsBro usifananishe BRT na matatu hebu kueni serious kidogo tunajua kua munaumia sana ila mambo mengine vumilieni tu 🤣🤣🤣
says a guy from a country with only 3 good roadsThird world infrastructure.
Hakuna kitu kama iga iga, Nairobi is a global city with one of the biggest retail market in Africa.
Sijui hata unajaribu kubishana nini na bongo hata duka ya Xiaomi hakuna. Most brands utazipata Kenya ambazo hakuna anywhere else in the region.Retail market in Africa , which Africa ? Halafu kusema nairobi is a Global city sounds strange to everyone [emoji3][emoji3][emoji3]
Natural disaster which last for 59 years since 1963 without copping mechanisms?.when its a natural disaster kupewa msaada ni kawaida.... hata turkey ilio patwa na natural disaster ilipewa misaanda from diffrent countries.
Wacha kupoteza muda na vitu visivyokua na maana yoyote, matatizo ya wakenya ni haya hapaSijui hata unajaribu kubishana nini na bongo hata duka ya Xiaomi hakuna. Most brands utazipata Kenya ambazo hakuna anywhere else in the region.
So hii ni terminal 2 songwe inte airport au?Another cold room at Songwe Airport!
Unless hii utafautishe na hii ndio ntakuelewa 🤣🤣🤣🤣 hasira za nn sasa hio ilikua 23 nov 2022 na hii niliopost tarehe 1 march 2023 prove me wrong plz bila hasira na mapovu but what i see ni same car 🤣🤣🤣🤣 picha ya kwanza kabla ya kusajiliwa na picha ya pili baada ya kusajiliwa mos mos budaa tofaut ya gari mbili ndio munadanganya watu zimejaa kila mahali🤣🤣🤣Utakufa na wivu mbwa, ziko mingi sana.
Usiwe pumbavu, number plate ya KDL imetoka 2023, gari za 2022 ni KDK kurudi nyuma. 🤣 🤣 🤣 enda skia vibaya na huko, ingine ndio hii.Unless hii utafautishe na hii ndio ntakuelewa 🤣🤣🤣🤣 hasira za nn sasa hio ilikua 23 nov 2022 na hii niliopost tarehe 1 march 2023 prove me wrong plz bila hasira na mapovu
🤣🤣🤣🤣🤣so picha ni 2022 ila plate number 2023 hii ni vichekesho aiseee so ziko tatu kenya nzima ndio zimejaa kila mahali ww lazma utakua na shida kichwani mwakoUsiwe pumbavu, number plate ya KDL imetoka 2023, gari za 2022 ni KDK kurudi nyuma. 🤣 🤣 🤣 enda skia vibaya na huko, ingine ndio hii.
Hii wanaita LC 300 GR hebu itafute kenya nzima ukipata njoo unitag 🤣🤣🤣🤣Usiwe pumbavu, number plate ya KDL imetoka 2023, gari za 2022 ni KDK kurudi nyuma. 🤣 🤣 🤣 enda skia vibaya na huko, ingine ndio hii.
Finally Passengers Terminal Building imekamilika Songwe, what a mile stone.Another cold room at Songwe Airport!
Ingine tena. 🤣🤣🤣🤣 Umekosa Lexus umekimbilia LC300Hii wanaita LC 300 GR hebu itafute kenya nzima ukipata njoo unitag 🤣🤣🤣🤣
Na huskii watu wakipiga kelele ford everest 2023 🤣🤣🤣Usiwe pumbavu, number plate ya KDL imetoka 2023, gari za 2022 ni KDK kurudi nyuma. 🤣 🤣 🤣 enda skia vibaya na huko, ingine ndio hii.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii nini sasa nyingine iko wapi hapo ???? Unajionesha gari iko wapi hapo ??? So kenya nzima ziko 3 mpaka sasa hvi na tunaambiwa zimejaa kila mahali kaaaaahIngine tena. 🤣🤣🤣🤣 Umekosa Lexus umekimbilia LC300