NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,295
- 19,649
Nionyeshe ya mzazi wako nione.🤣🤣Mzee hii ndio nyumba unatamba nayo. Hakika wewe ni mshamba sana. Nyumba kama hizi tunajengea wazazi wetu vijijini. Subiri nikutoe tongo tongo. Leo nipo free.
You used to like him because he used to criticize the Kenyan government, now you hate him because speaks for the same. Watu sii wajinga buanaaa.Huyu jamaa alikuwa think tank kweli nilikuwa sikosi makala zake, until alipom-join Ruto!
Mkuu ninadhani bado hujawajua wakenya vizuri, waulize waganda watakuambia kuhusu wakenya katika biashara.Kwa sie tunapenda biashara na ambao hatusubirii kutumwa ndio tupate msosi Wetu tukiona kumbe kama hizi Huwa tunafurahi sana View attachment 2529256
Biashara ndio njia pekee ya Kutatua mass unemployment Kwa Nchi za Afrika na sio uhasama wa kipumbavu.
Mara zote nitamuunga mkono Rais yeyote mwenye mtizamo wa kukuza biashara ndio maana namkubali Samia, Kenyatta na Ruto na ni adui mkubwa sana wa sera za Mwendazake
Nimefanya nao kazi Uchumi Supermarket, biashara ni ushindani badala ya kukimbia uwanja jipange kushinda.Mkuu ninadhani bado hujawajua wakenya vizuri, waulize waganda watakuambia kuhusu wakenya katika biashara.
Jana ulimsikiliza vizuri Rostam Aziz alichokisema katika hotuba yake mbele ya Rutto?.
Msikilize Dangote kwanini alishindwa kuwekeza Kenya, Hivi kwanini Mo na Bakhresa hadi Leo wameshindwa kufungua viwanda Kenya lakini wameweza kufungua viwanda vikibwa South Africa na nchi zingine za Afrika hadi Ghana?.
Mkuu jipe muda uwajue wakenya kwa undani, usisikilize maneno Yao ya kujifanya wao wanata biashara huru. Fuatilia sakata la sukari, mayai na maziwa toka Uganda kwenda Kenya.
Nyie ni mafukara wala msiongee chochote. Wazazi wenu wanaishi kwenye nyumba za ajabu sana. Usitake nikuaibishe hapa.Nionyeshe ya mzazi wako nione.🤣🤣
What about those your 524 companies which ran away from shithole countries and came to Tanzania, don't they know which country has more money between Kenya and Tanzania?[emoji1][emoji1][emoji1]Uoga gani bongolala? Huyo ni mwekezaji na anajua mahali pesa iko. Why would he waste his money in Tanzania where only 7% of all households use gas for cooking? Anajua Tanganyika hakuna soko kwa hivyo akaona afulize hadi Kenya ambapo asilimia kubwa ya wananchi wanatumia gesi kupikia ikilinganishwa na Tanzania. Ni akili mtu wangu
Hivi kwenye ngumi hakuna marudio ya VAR?, Jana kijana wetu alichakazwa Sana, Jana ule ushindi sio wetu.
Kwa sie tunapenda biashara na ambao hatusubirii kutumwa ndio tupate msosi Wetu tukiona kumbe kama hizi Huwa tunafurahi sana View attachment 2529256
Biashara ndio njia pekee ya Kutatua mass unemployment Kwa Nchi za Afrika na sio uhasama wa kipumbavu.
Mara zote nitamuunga mkono Rais yeyote mwenye mtizamo wa kukuza biashara ndio maana namkubali Samia, Kenyatta na Ruto na ni adui mkubwa sana wa sera za Mwendazake
Ndio shida za nyie watu wajinga na mnaotegemea Mishahara na jasho la watu,kuwa intelligent sio kuwa na Cheti tuu.Yaani ww inawekena ulikua fisadi,au baba Yako,mkeo,mama Yako,kaka Yako dada Yako na Kuna mahala hlikuwa unapata pesa bila kufanya kazi ww sio Kwa chuki hizo kwa JIWE
Mbona unakwepa swali rahisi hivi?🤣Nyie ni mafukara wala msiongee chochote. Wazazi wenu wanaishi kwenye nyumba za ajabu sana. Usitake nikuaibishe hapa.
Mzee unataka nianze kuonesha vitu vyangu binafsi nimekuonesha kitu kidogo #436,491Mbona unakwepa swali rahisi hivi?🤣
Ndio shida za nyie watu wajinga na mnaotegemea Mishahara na jasho la watu,kuwa intelligent sio kuwa na Cheti tuu.
Umevileta humu mwenyewe. Hakuna aliyekuuliza nyumba ya mamako kijijini inakaa vipi. Unejitamba kwamba MBA nyumba kama hizo vijijini nikakuuliza unionyeshe ya mamako. Mbona unaliaa?🤣🤣Mzee unataka nianze kuonesha vitu vyangu binafsi nimekuonesha kitu kidogo #436,491
Naona sasa ushamba unaendelea kuishi. Mzee sisi tunajenga majumba wenyewe kijijini.Umevileta humu mwenyewe. Hakuna aliyekuuliza nyumba ya mamako kijijini inakaa vipi. Unejitamba kwamba MBA nyumba kama hizo vijijini nikakuuliza unionyeshe ya mamako. Mbona unaliaa?🤣🤣
Nimeshakwambia Jiwe alikuwa na sera za Kijamaa,Jiwe alikuwa nanuhasama na Kenya alaharibu soko letu la Mahindi,mbogamboga,matunda eg parachichi na mazao ya kuku nk..Nipe kimojawapo alichokukera JIWE
Mkuu, ndio sababu nikakuambia waulize wafanyabiashara wakubwa ambao wanakwenda Kenya kuwekeza, hao ndio wanaowajua wakenya, wewe hujawahi kuwa mfanyabiashara mkubwa ambaye unaweza kuwa tishio kwa wafanyabiashara wa Kenya, wewe uliajiriwa na kufanya kazi na wakenya.Nimefanya nao kazi Uchumi Supermarket, biashara ni ushindani badala ya kukimbia uwanja jipange kushinda.
In fact Mimi nilijifunza kuwa aggressive na kujali wateja.Nakupa mfano mdogo hivi customer care iliyopo equity au KCB ni sawa na crdb na nmb? [emoji13][emoji13]
Mwisho nimesema kuondoa vikwazo robo tatu baina Kenya na Tzn vimenufaisha Tanzania kuliko Kenya Kwa value of products regardless volume of goods and services ndio maana tuna positive BoP
Mambo kama haya Jiwe angekataa angekwambia ni kuuza Nchi ndio maana aliua project ya kigamboni new city,kawe,Burka nk nk Kupitia NHC na pension corporations..