Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Comments kwenye hii tweet, ni kuwa, watu wa mataifa mengine wengi wamecomment congratulations Tanzania, comments za wakenya sasa
  • Made in Kenya
  • Built in Kenya
  • A win for East Africa
  • Was it built 100% by Tanzanians?
  • Their ships are built by our military
  • Was designed in Kenya, most of workers were kenyans
  • Is it working?
  • You mean assembled or?
  • Is it locally built or locally assemblied?

Na comments nyingine nyingi za wivu 💉💉
Na bado mpk watakapoamka wote na kugundua Tanzania sio level yao
 
UKisoma Comments kwenye Post hiyo
Ndio Utawashangaa Baadhi ya Watanzania Wanao Sema Kenya nindugu kiukweli Siwezi kuwa na Udugu na Mkenya mie Never Niwatu wenye Wivu,Chuki na Roho Mbaya sana Duniani
 
So you don't want them to say the truth? Vile mnashinda mkisema tunaninia kwenu mahindi pia hiyo ni jealousy?
 
Huyu ndiyo akaua kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…