REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,675
- 11,684
Unaposema eti wanatuzidi "remittance" sijui wewe unaelewa nini kuhusu rimitens, ndio maana nakushangaa.Hili sio jukwaa la udaku kama haujasoma rudi kwenye thread zako za udaku.
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Acha ujuaji kijana,Unaposema eti wanatuzidi "remittance" sijui wewe unaelewa nini kuhusu rimitens, ndio maana nakushangaa.
Wametuzidi rimitens maana yake ni hivi:
"Tanzania ni nchi nzuri sana, yenye usalama, uongozi mzuri na yenye kukizi mahitaji ya raia wake ndio maana idadi ya Watanzania nje ni ndogo sana. Yaani Watanzania hawana sababu za kukimbia inchini kwao kutafuta maisha bora kwingine.
Watu wanakimbia nchi kwa sababu za kiusalama, maisha magumu. Ndio nchi kama Nigeria, Ethiopia, Kenya, na hao Uganda. Yaani wapo huko nje wanafanya vibarua vya kudhalilisha utu na kupeleka hela home"
Sasa wewe nawe ulivyo unavyiojijua wewe, unataka tushindane nao kukimbia Tanzania kwenda kuosha vyombo na kufua nguo Saudi Arabia na kwingineko. Ndio maana tunakuuliza kama wewe ni mzima [emoji23]
Wewe unakichaa!Acha ujuaji kijana,
Na kuona kila anaekimbilia nje ni anaenda kua househelps kama unavyodhani...Hapa duniani kila mtu anamalengo yake kama haujayafikia apo Tanga unajaribu Dar kama bado unaweza kwenda hata Sydney ilmradi uyafikie, Sasa wewe umeshikilia kua wanaenda kujidhalilisha fine hakuna shida ila kama malengo yake yametimia mimi sioni tatizo.
Aliejaribu kuwarudisha wataalam wetu wengi warudi alikua Raisi Kikwete,kipindi tunasoma chuo wale tuliowakuta wanamalizia MD5 karibu wote walizamia Botswana, wanakula hela nzuri kule maisha yao yanaenda safi ,ni mbaya kwa nchi lakini kama hakuna izo fursa sio kila mtu anaweza kukaa asubiri kulipwa hela kiduchu na anaweza kupata nyingi sehemu zingine
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kama story zako ndio hizi za wewe unakichaa wewe sijui nn BasiWewe unakichaa!
Tunapoongelea jambo tunaangalia percentage, na sio watu 50 or 40. Tunaongelea kati ya watu 1,000, watu 800 ambayo ni 80% wanafanya nini, sio hao 200 waliobaki.
Kama wewe ni mtembezi nje ya nchi, unajua vyema 80% to 90% ni wafanya vibarua vya hovyo. Unafikiri wazungu wanatoa tu ajira za maana kwa wageni.
Jifunze matumizi sahihi ya internet, usipende tu kuokoteza huko google ama rudi shule.Kama story zako ndio hizi za wewe unakichaa wewe sijui nn Basi
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Says a bongolalaMediocre city.
Nionyeshe traffic lights hapo Dodoma. 🤣Mediocre city.
Kubali nimekupa somo kuhusu rice kuwa raw material yaishe. You didn't know it is but now you know and you should thank me for that!Your problem is that, you know nothing but you don't like to keep quiet. Do you know the definition of raw materials?. According to you then there is nothing under the sun which is not raw material.
When you mention that you are buying iron ore from Tanzania and you sell to us steel, is steel not raw material?
Copy and paste bila aibu😆😆😆😆
Nadhani wewe ndio hujaelewa mkuu.Umeme unaweza ukachukuliwa Kidatu,Songasi au Nyereree Hydro Power etc na usiwe wa tanesco.Tanasco anapokea kwa mzalishani ,andafirisha na kuuza.Hivyo serikali unaweza kudesgnate njia huru for SGR.Hawa waandishi uchwara sijui wanatoka wapi. Kwani huo sio umeme wa Tanesco pia? Angetakiwa aseme sgr inatumia a dedicated power line to run the trains.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii ndio render hebu tuoneshe just 1% of it sasa hvi na ukumbuke ni over 14 yrs nowKonza City
View attachment 2518427
Akikuonesha just 1% of this naomba unitag nifunge acc plz 😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣 Unamtishia nani nyau.? We jamaa .. konza is just an empty green field 👇View attachment 2518428na hii picha nayo ni ya juzi tu when your ex president Uhuru pays a visit 👇View attachment 2518429au hizo smart technology in konza zinaekwa kuona nyoka zikikariza kwa hiyo pori kubwa.? 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii ndio render hebu tuoneshe just 1% of it sasa hvi na ukumbuke ni over 14 yrs now View attachment 2518560View attachment 2518561View attachment 2518562
Hata 1% of this render bado na ina umri wa miaka 14 sasa hvi 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii ndio render hebu tuoneshe just 1% of it sasa hvi na ukumbuke ni over 14 yrs now View attachment 2518560View attachment 2518561View attachment 2518562
Hii ni nn budaa hvi nyinyi hamuna plan ya kuekeza kitu mukafanya project ikaonesha effect kwa kusaidia mwananchi wa chini kabisa 🤣🤣🤣 munataka mambo makubwa na hamuna uwezo nayo
Bongolala si unasumbuka yani 😂Hii ni nn budaa hvi nyinyi hamuna plan ya kuekeza kitu mukafanya project ikaonesha effect kwa kusaidia mwananchi wa chini kabisa 🤣🤣🤣 munataka mambo makubwa na hamuna uwezo nayo